Wengine wanaita Mungu, Wengine Chanzo, Binafsi napenda kutumia "Muumba" ...
Binafsi siziamini dini ila naamini kuna supernatural power , hyo power ndiyo inasababisha Mtoto anaundwa mwilini, Miti inakua, Dunia inaelea, Masaa hayapishani usiku na mchana, Jua kuwaka bila kuchoka, Mechanism ya Mvua...
Muumba yupo lakini hakuna anaeweza kujibu maswali yanayomhusu wala hakuna Limitation zozote alizotuwekea kwakua hakuna mtu alikuwepo wakati ana Create...
Kuhusu maombi - ni kitu chochote ambacho unajiambia.. ukiwa unajiambia mara nyingi Mimi ni Tajiri, Nina afya, ninajiamini and other positive things - unapata matokeo hayohayo
Mfano kina 2pac na Biggie walikua wanaimba kwamba wao ni wababe, wanapenda ngono, wanavuta bangi hata vifo vyao vilihusiana na matukio