Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Wewe unayejua na unajifanya unajua, Huwezi na umeshindwa kuthibitisha uwepo wa hicho unacho kiita Muumba wa ulimwengu.Sema "Mimi sijui"
sio "Hatujui"
Hata nyie Hamjui.
Mnafosi fosi tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe unayejua na unajifanya unajua, Huwezi na umeshindwa kuthibitisha uwepo wa hicho unacho kiita Muumba wa ulimwengu.Sema "Mimi sijui"
sio "Hatujui"
Kindergarten English.I think that "all thinking people are atheists " belief is the death of intelligence. Please! Understand in order to believe.
Kimeundwa na nini mkuu? Naomba unijuze?Kwanza kabisa, sayansi haisemi kila kitu kimeundwa na atom.
Mpaka hapo ushachemsha.
Kwanza kabisa, mtu anaposema "kila kitu" ana maana gani? Anajuaje hicho anachofikiri "kila kitu" ni kila kitu kweli na hakuna cha zaidi kioicho tofauti na anavyofikiri?Kimeundwa na nini mkuu? Naomba unijuze?
Hii huwa jnatokea sana kuchanganya “P” na “b” na bado usione kama umechanganya..Atom ndio nani? Mkojo umenipana
Kiranga acha kucheza na maneno mkuu. Ni kitu ( Maada) ipi hiyo isiyoundwa na atom?Kwanza kabisa, mtu anaposema "kila kitu" ana maana gani? Anajuaje hicho anacjofikiri "kila kitu" ni kila kitu kweli na hakuna cha zaidi?
Tumeona hapo juu haiwezekani kila kitu kiwe kimeundwa na atom kwa sababu atom yenyewe inaundwa kwa vitu vinaitwa subatomic particles.
Kwanza kabisa "kitu" si maada. Kwa hiyo swali lako la "kitu" na hili la maada ni maswali mawili tofauti.Kiranga acha kucheza na maneno mkuu. Ni kitu ( Maada) ipi hiyo isiyoundwa na atom?
Ameshakuwepo tayari kutoka wapi?Hawezi kuwepo kwa dhati yake vipi wakati ameshakuwepo tayari.
Mnajadili Fictional character mnayemwita Mungu/Allah/Muumba n.kHivi unamjua tunayemjadili au unaandika tu ilimradi.
Huyo Mungu kama yupo ajitokeze mwenyewe hadharani ajidhihirishe kama ana huo uwezo.Uwepo wa Mungu uwepo wa lazima na WA dharura. Yaani hakuna kinyume chake.
Udhaifu unaanza kwa huyo Mungu wenu mchovu na mdhaifu ambaye hawezi kujidhihirisha mwenyewe, kujitetea mwenyewe na kujiongelea mwenyewe yeye kama yeye, kwamba yupo.Nachotaka Mimi ni wewe uguse hoja yangu kwa kukikosoa na kuonyesha uongo au udhaifu wake.
Mmemtunga huyo Mungu vichwani mwenu kwa sababu huyo Mungu kama yupo ajitokeze hadharani mwenyewe ajidhihirishe na kujiongelea kama ana huo uwezo.Thibitisha ya kuwa tumemtunga na onyesha wapi tumeshindwa kuthibitisha uwepo wake ?!
Vitu vipo kwa sababu vilikuwepo na ndio maana tumevikuta vipo.Safi kabisa, tuambie hivyo vitu imekuwaje vikawepo na utuambie ulazima wa kutokuwa na muanzilishi wa vitu hivyo.
Hicho chanzo kiliwezaje kuwepo chenyewe tu from nowhere?Tunakuuliza wewe, chanzo cha kila kitu vipi kiwe kimeumbwa ?
Unaelewa maana ya infinity?Swali lako ni swali la uongo. Unakubali Kuna infinity series ?
Kwanza thibitisha uwepo wa huyo Mungu, USITUMIE Vitu ambavyo tayari vipo kwenye existence vyenyewe, kusema kwamba viliumbwa na huyo Mungu wenu wa kufikirika.Au una ufahamu kidogo wa Sayansi yenu, ambayo nayo inathibitisha ulazima wa uwepo chanzo ambacho hakihitaji chanzo ? Una idea kidogo na Entropy au Thermodynamics ? Ili uelewe ulazima wa chanzo kisicho na chanzo ?
Hapa nataka mtu mwenye uwezo wa kufikiri kielimu na kiuhalisia sio kifalsafa.
Hahaha.. You’re spectacularly ingenious!Kwanza kabisa "kitu" si maada. Kwa hiyo swali lako la "kitu" na hili la maada ni maswali mawili tofauti.
Pili, atom yenyewe haiundwi na atom.
Huelewi wapi?
Tatu, hutakiwi kusema kila kitu kinaundwa na atom, kwa sababu hujui kila kitu.
Zaidi, kuna time, kuna space, hivi ni vitu ambavyo haviundwi na atom.
Imani ni kutokuwa na uhakika juu ya jambo au kitu fulani.Andika vitu vyenye uhalisia. Unajua maana ya Imani ?
Nipo upande wa kujua kwa uhakika, ushahidi na uthibitisho.Kama huamini kwenye kuamini unafanya nini au upo upande gani ?
Wewe una imani ya kwamba unaitwa kisai au unajua kwamba wewe unaitwa kisai?Nani alikwambia Imani haina hakika ? Imani imegawanyika, na Imani sahihi inatanguliwa kwanza na elimu kujua kuwa na uhakika kisha kusadiki kwa moyo, hii ndio Imani.
Nahitaji kujua kwa uthibitisho na ushahidi.Unahitaji kujua kwa misingi gani ? Ya logic au Falsafa ? Una uhakika na ala unazotumia ili ujue jambo ?
Kama kilakitu kimeundwa Je...? Mungu aliumbwa na Atom ( Proton, Neuron & electron) au aliumbwa na 3 ( M/baba, M/mama na roho/M).Salaam wakuu,
Science inasema, kila kitu kimeundwa na atom, bt maandiko yanasema, kila kitu kimeundwa Mungu.
Science inasema atom imeundwa na sehem 3(proton, neuron & electron bt maandiko yanasema Mungu anaundwa na sehem 3(Mungu baba, mwana & roho mtakatifu).
Kwa mtiririko huo, nahitimisha kwa kusema, science inasupport uwepo wa Mungu kwa 100%.
Ameshakuwepo tayari kutoka wapi?
Mnajadili Fictional character mnayemwita Mungu/Allah/Muumba n.k
Ndio huyo mnahangaika kumjadili na kumtetea kwa sababu hayupo na hajawahi kuwepo kujidhihirisha mwenyewe kwamba yupo.
Huyo Mungu kama yupo ajitokeze mwenyewe hadharani ajidhihirishe kama ana huo uwezo.
Unacho sumbuka kumwelezea na kumuongelea ni nini?
Si atoke huko alipo ajitetee mwenyewe kama ana huo uwezo.
Udhaifu unaanza kwa huyo Mungu wenu mchovu na mdhaifu ambaye hawezi kujidhihirisha mwenyewe, kujitetea mwenyewe na kujiongelea mwenyewe yeye kama yeye, kwamba yupo.
Ni ninyi tu mnahangaika kumtetea huyo Mungu wenu mchovu na mdhaifu.
Mmemtunga huyo Mungu vichwani mwenu kwa sababu huyo Mungu kama yupo ajitokeze hadharani mwenyewe ajidhihirishe na kujiongelea kama ana huo uwezo.
Sio Ninyi mnahangaika kumtetea na kumuongelea.
Huyo Mungu wenu atoke huko alipo, Aache kujificha kama mwali.
Vitu vipo kwa sababu vilikuwepo na ndio maana tumevikuta vipo.
Vitu visingekuwepo, tusingevikuta vipo.
Kama kila kitu kilichopo lazima kiwe na muanzilishi wake, Hata muanzilishi wa kila kitu lazima awe na muanzilishi wake mwingine.
Ili ulazima huu, U apply kwa kila kitu. Na hivyo kutakuwa na "Waanzilishi" wengi wasiokuwa na mwisho(Endless) to infinity...
Pasiwepo kitu chochote kile kilicho jitokeza chenyewe pasipo muanzilishi, Maana kitazua maswali ya kiliwezaje kuwepo pasipo muanzilishi.
Na kama si lazima kwamba kila kitu kilichopo kina muanzilishi, Hata ulimwengu na vyote vilivyomo except man-made things, Havina na havihitaji kuwa na muanzilishi.
Hicho chanzo kiliwezaje kuwepo chenyewe tu from nowhere?
Kabla hicho "chanzo cha kila kitu" hakijawa chanzo, kilikuwa wapi?
Huko kilipokuwa kulitoka wapi na kuliumbwa na nani?
Unaelewa maana ya infinity?
Infinity maana yake, Hakuna mwisho.
Kwanza thibitisha uwepo wa huyo Mungu, USITUMIE Vitu ambavyo tayari vipo kwenye existence vyenyewe, kusema kwamba viliumbwa na huyo Mungu wenu wa kufikirika.
Thibitisha uwepo wa huyo Mungu, yeye kama yeye.
Au ukishindwa, Mwambie huyo Mungu wako aje ajidhihirishe mwenyewe na kujithibitisha yupo, Kama ana huo uwezo.
Hata nyie waamini Mungu ni wadhaifu sana. Na mmeshindwa na hamuwezi kuthibitisha uwepo wa huyo Mungu wenu mnayedai yupo.Mimi siandiki tu kwamba ili nijifurahishe, nyinyi nawajua ni dhaifu sana kwa hoja kushinda nyumba ya bui bui.
Quran ni hadithi kama hadithi zingine tu.Twende kazi ila usikimbie mjadala na ukiulizwa maswali jibu, tuone nani anayeshambuliwa na nani muongo.
Tuanzia katika uongo wako juu ya Qur'an. Unajua Qur'an walau hata kuisoma au inafanana vipi ? Kingine naomba uthibitishe ya kuwa Qur'an ni Hadithi na kwanini unaandika uongo juu ya Qur'an.
Huyo Mola wenu kama yupo, Ajidhihirishe mwenyewe kwamba yupo kama ana huo uwezo.Hili ni swali la msingi kwanza ili kujua ufahamu wako na uwezo wako wa kujenga hoja. Sababu kuandika uongo juu ya jambo usilo lijua ni upunguani wa akili.
Mola wetu hakuwahi kutokuwepo, yeye yupo.
Kutumia Quran kama uthibitisho wa Mungu ni sawa na kutumia Comic book kusema ndio uthibitisho wa Harry Potter.Jibu la swali lako hili hapa :
It was narrated that Abu Razeen said: O Messenger of Allah, where was our Lord before He created His creation? He said: “Nothing existed but Him, with nothing beneath Him and nothing above Him. Then He created His Throne above the water.”
Narrated by at-Tirmidhi (3109), Ibn Maajah (182) and Ahmad (15755).
Swali la pili la uongo na halina maana, sababu halina uhalisia. Huu utoto ndio huwa hatuutaki mnaandika andika tu vitu pasi na kujua mnachokojadili ni kipi. Mfano ukikaa ukatumia akili na kufikiria. Swali lako linaishia wapi. Yaani ukomo wake ni upi ?
Kingine nataka uniambie uthibitisho kwako wewe ni upi na una sifa gani ? Ili tupime unachokiandika ni sahihi au la.
Kingine nataka uje ututhibitishie ya kuwa Qur'an au Hadithi ni uongo na haufai kuwa uthibitisho.
Usikimbie hoja Wala maswali.
Huyo Mungu kama yupo, kwa nini uhitaji imani ya kumwamini?Kujadili hoja za uwepo wa Mungu kwa mtu ambaye hana imani ni changamoto sana
Hata huyo Mungu wenu haiwezekani ajitokeze mwenyewe tu.Kila kitu kilicho katika uhalisia (existence) kina sababu ya kuwepo kwake. Ulimwengu hauwezi kuwa umejitokeza wenyewe. Kuna haja ya "Sababu ya Awali" isiyo na chanzo wala kikomo, ambayo ni Mungu.
Kwanza thibitisha uwepo wa huyo Mungu, Kabla ya kusema ndio chanzo cha kila kitu.Hii si kutegemea vitu vilivyopo, bali ni hoja ya kimantiki kwamba kila athari lazima iwe na chanzo chake. Mungu anachukuliwa kuwa chanzo kisicho na chanzo, mwenye asili ya milele.
Kwanza kama huyo Mungu yupo, Mnacho hangaika kumtetea na kumweleza ni nini?Tunaweza kuona muundo wa hali ya juu (complexity) katika vitu kama DNA, sheria za fizikia, na mifumo ya uhai. Muundo wa hali ya juu mara nyingi hutokana na mjenzi mwenye akili.
Hii inaonyesha uwezekano wa kuwepo kwa akili ya hali ya juu (Mungu) iliyoanzisha muundo huu, hata kama haionyeshi moja kwa moja sura ya Mungu.
Ikiwa Mungu hayupo, maadili ya kawaida (kama haki au wema) hayana msingi thabiti. Kwa nini tunahisi dhana ya "haki" au "baya" ikiwa hazitokani na chanzo cha hali ya juu?
Maadili ya kawaida yanaweza kueleweka kama ushahidi wa uwepo wa Mungu ambaye ndiye chanzo cha kanuni hizi zisizoonekana.
Watu wengi wana ushuhuda wa kibinafsi wa kuwasiliana na Mungu, kubadilishwa maisha yao, au kuona miujiza.
Ingawa si rahisi kuthibitisha hii kisayansi, idadi kubwa ya ushuhuda huu haiwezi kupuuzwa kwa urahisi.
Mungu hajidhihirishi wazi kwa sababu ya kutoa uhuru wa kuamini au kutokuamini, ili kujaribu imani ya watu.
Historia ya kidini, kama ilivyo kwenye Biblia, inatoa mifano ambapo Mungu alijidhihirisha (mfano, kwa Musa, Ibrahimu, na wengine). Kwa nini hatujidhihirishi kila mara leo? Mungu anaweza kuwa na sababu ambazo hatuelewi kikamilifu.
Huyo Mungu kama yupo, kwa nini uhitaji imani ya kumwamini?
Badala ya kumjua kwa uhakika, ushahidi na uthibitisho kabisa kwamba yupo?
Mungu angekuwepo kweli Kusingekuwa hata na haja ya kuhoji uwepo wake.
Kila mtu angejua na angefahamu kwa uhakika kabisa kwamba Mungu yupo.
Mungu hayupo ndio maana mnahangaika kumtetea yupo. Kwa sababu huyo Mungu mmemtunga vichwani mwenu tu, Wala hamna uthibitisho wa uwepo wake.
Huyo Mungu wenu kama yupo ajitokeze hadharani mwenyewe ajidhihirishe yupo kama ana huo uwezo.
Hata huyo Mungu wenu haiwezekani ajitokeze mwenyewe tu.
Kama umeweza kuamini Mungu usiyemjua wala huwezi kuthibitisha uwepo wake hana chanzo, Unashindwaje kujua pia ulimwengu hauna na hauhitaji Chanzo?
Kama ulimwengu lazima uwe na chanzo, Hata huyo Mungu wenu lazima awe na chanzo.
Na kama huyo Mungu wenu hana chanzo, Hata Ulimwengu hauna chanzo.
Na huyo Mungu mmemtunga vichwani mwenu tu, Na wala huwezi kuthibitisha uwepo wake. Unafosi fosi tu uwepo wake.
Kwanza thibitisha uwepo wa huyo Mungu, Kabla ya kusema ndio chanzo cha kila kitu.
Hujathibitisha Mungu yupo, Unarukia kusema yeye ndio chanzo cha kila kitu.
Anza kwanza kuthibitisha uwepo wa huyo Mungu, Kabla hujasema ndio chanzo cha kila kitu.
Kwanza kama huyo Mungu yupo, Mnacho hangaika kumtetea na kumweleza ni nini?
Huyo Mungu kama yupo ajitokeze mwenyewe ajiongelee na kujielezea, Kama ana huo uwezo.
Vinginevyo, Huyo Mungu mmemtunga vichwani mwenu tu na wala huwezi kuthibitisha uwepo wake.
Mungu hajawahi kuwepo, hayupo na hatakaa awepo.
Hata atheists wanakubali kuwa maswali ya uwepo wa Mungu yanaweza kutegemea mambo yasiyo ya kimahesabu bali ya kifalsafa na kihisia."Hakuna uamuzi wa kiuhakika wa kama Mungu yupo au hayupo, bali tunategemea ushahidi wa moja kwa moja au wa kisayansi."
Kutumia Biblia kusema kwamba ndio uthibitisho wa uwepo wa Mungu, Ni sawa na kutumia Comic book kusema ndio uthibitisho wa uwepo wa Harry Potter.Nitakujibu kimaandiko ya Biblia na kifalsafa wakiwepo hao ma atheist wanaowafundisheni huu uzushi
1. Kwanini Mungu anahitaji imani? Kwanini asijidhihirishe moja kwa moja?
Biblia inasisitiza Imani:
"Lakini pasipo imani haiwezekani kumpendeza Mungu; kwa maana yeye amwendeaye Mungu lazima aamini ya kwamba yeye yuko, na kwamba huwapa thawabu wale wamtafutao." (Waebrania 11:6).
Mungu aliamua kuwasiliana nasi kupitia imani kwa sababu imani ni uamuzi wa hiari unaotoka moyoni. Ikiwa Mungu angejitokeza kwa dhahiri kila wakati, hatungehitaji imani bali tungekuwa kama mashine zinazomtii kwa shuruti, si kwa upendo.
Kifalsafa:
Wanafalsafa kama Søren Kierkegaard walieleza kuwa imani ni hatua ya ujasiri inayochukuliwa bila kuwa na uhakika kamili wa hisia au ushahidi wa moja kwa moja. Mungu kutotokea kwa wazi kunaweka nafasi ya uchaguzi wa hiari, ambao ni kipimo cha kweli cha uhusiano wa mtu na Mungu.
Kutoka kwa atheists:
Richard Dawkins, ingawa ni atheist maarufu, anasema katika kitabu chake The God Delusion:
Hata atheists wanakubali kuwa maswali ya uwepo wa Mungu yanaweza kutegemea mambo yasiyo ya kimahesabu bali ya kifalsafa na kihisia.
2. Kama Mungu angekuwepo, kwa nini kuna mjadala juu ya uwepo wake?
Biblia inasema watu wanapenda giza kuliko nuru:
"Na hii ndiyo hukumu, ya kwamba nuru imekuja ulimwenguni, na watu wakapenda giza kuliko nuru; kwa maana matendo yao yalikuwa maovu." (Yohana 3:19).
Uwepo wa Mungu hautegemei tu watu kumtambua; wengine hukataa kwa sababu ya upinzani wa mioyo yao au kutafuta uhuru wa kuishi bila viwango vya kiroho.
Kifalsafa:
Hoja ya Thomas Aquinas inasema kuwa Mungu anatambulikana kupitia maajabu ya viumbe na mpangilio wa ulimwengu. Lakini watu hutafsiri ushahidi huo kulingana na imani zao binafsi. Kwa mfano, uwepo wa sheria za maumbile huthibitisha kanuni za mpangilio, lakini kwa wengine ni sababu ya kumkataa Mungu.
3. Kwa nini Mungu asijitokeze moja kwa moja?
Biblia inasema Mungu ameonyesha uwepo wake kwa njia mbalimbali:
"Kwa maana mambo yake yasiyoonekana tangu kuumbwa ulimwengu yanaonekana, na kufahamika kwa kazi yake; yaani, uwezo wake wa milele na Uungu wake; hata watu hawana udhuru." (Warumi 1:20).
Mungu amejidhihirisha kupitia uumbaji, manabii, na Yesu Kristo (Yohana 1:14). Suala sio kwamba Mungu hajitokezi, bali wengi hupuuza au hawatambui ufunuo Wake.
Kifalsafa:
Mungu kuwa asiyetegemea mwili au ulimwengu wa kimwili ni hoja ya nguvu katika falsafa ya teolojia. Kama kiini cha ulimwengu ni cha kiroho, basi hatuwezi kutegemea njia za mwili kuona chanzo hicho.
4. Kama ulimwengu una chanzo, kwa nini Mungu hana chanzo?
Biblia inamwelezea Mungu kama wa milele:
"Bwana, wewe umekuwa makazi yetu tangu zamani zote. Kabla milima haijazaliwa, wala hujaiumba dunia na ulimwengu, Naam, tangu milele hata milele ndiwe Mungu." (Zaburi 90:1-2).
Mungu hana chanzo kwa sababu Yeye ni wa milele. Ulimwengu, kwa upande mwingine, unaonyesha dalili za kuwa na mwanzo (Mfano: Big Bang).
Kifalsafa:
Aristotle alibuni dhana ya "Mfungamanishi wa Mwisho" (Unmoved Mover). Kwa maneno mengine, lazima kuwe na kitu kisicho na chanzo kinachoanzisha kila kitu kingine. Mungu anaeleweka katika falsafa kama msingi wa kuwepo (necessary being).
Kutoka kwa atheists:
Lawrence Krauss katika kitabu chake A Universe from Nothing anasema kuwa hata wazo la ulimwengu kutokea kutoka "sifuri" bado linahitaji mazingira ambayo si sifuri kabisa. Hoja hii inaunga mkono wazo kuwa kitu kisicho cha kawaida kiliunda ulimwengu.
5. Kwa nini watu wanahangaika kumtetea Mungu?
Biblia inatuagiza kufanya hivyo:
"Lakini mtakaseni Kristo kuwa Bwana mioyoni mwenu. Mwe tayari sikuzote kumjibu kila mtu awaulizaye habari za tumaini lililo ndani yenu, lakini kwa upole na kwa hofu." (1 Petro 3:15).
Wakristo wanamtetea Mungu kwa sababu ya uhusiano wao binafsi na Mungu na agizo la kushuhudia uaminifu wake.
Kifalsafa:
Kutetea hoja za Mungu ni sehemu ya mijadala ya binadamu kuhusu maswali makubwa ya maisha. Hili ni jukumu la kiakili na kiroho.
Kwakuwa hutaki nitumie biblia ,Mimi Niko tayari kutumia hao hao Atheist waliowapotezeni ,Kutumia Biblia kusema kwamba ndio uthibitisho wa uwepo wa Mungu, Ni sawa na kutumia Comic book kusema ndio uthibitisho wa uwepo wa Harry Potter.
Unaelewa kuwa hoja ya kila kitu kina chanzo inaonesha Mungu muumba vyote hawezi kuwepo?Kujadili hoja za uwepo wa Mungu kwa mtu ambaye hana imani ni changamoto sana
Kila kitu kilicho katika uhalisia (existence) kina sababu ya kuwepo kwake. Ulimwengu hauwezi kuwa umejitokeza wenyewe. Kuna haja ya "Sababu ya Awali" isiyo na chanzo wala kikomo, ambayo ni Mungu.
Hii si kutegemea vitu vilivyopo, bali ni hoja ya kimantiki kwamba kila athari lazima iwe na chanzo chake. Mungu anachukuliwa kuwa chanzo kisicho na chanzo, mwenye asili ya milele.
Tunaweza kuona muundo wa hali ya juu (complexity) katika vitu kama DNA, sheria za fizikia, na mifumo ya uhai. Muundo wa hali ya juu mara nyingi hutokana na mjenzi mwenye akili.
Hii inaonyesha uwezekano wa kuwepo kwa akili ya hali ya juu (Mungu) iliyoanzisha muundo huu, hata kama haionyeshi moja kwa moja sura ya Mungu.
Ikiwa Mungu hayupo, maadili ya kawaida (kama haki au wema) hayana msingi thabiti. Kwa nini tunahisi dhana ya "haki" au "baya" ikiwa hazitokani na chanzo cha hali ya juu?
Maadili ya kawaida yanaweza kueleweka kama ushahidi wa uwepo wa Mungu ambaye ndiye chanzo cha kanuni hizi zisizoonekana.
Watu wengi wana ushuhuda wa kibinafsi wa kuwasiliana na Mungu, kubadilishwa maisha yao, au kuona miujiza.
Ingawa si rahisi kuthibitisha hii kisayansi, idadi kubwa ya ushuhuda huu haiwezi kupuuzwa kwa urahisi.
Mungu hajidhihirishi wazi kwa sababu ya kutoa uhuru wa kuamini au kutokuamini, ili kujaribu imani ya watu.
Historia ya kidini, kama ilivyo kwenye Biblia, inatoa mifano ambapo Mungu alijidhihirisha (mfano, kwa Musa, Ibrahimu, na wengine). Kwa nini hatujidhihirishi kila mara leo? Mungu anaweza kuwa na sababu ambazo hatuelewi kikamilifu.
Wala hayachanganyi mkuu, atheist ni wagonjwa wa akili, haiwezekani 3\4 ya watu duniani wana-experience ya deities alafu wao pekee wanaopinga deities ndo wajione wapo sahihi, huo ni ugonjwa wa akili.
Umezungumza kuhusu sayansi. Je unaamini kuwa jua linaizunguka dunia? (Bila shaka jibu litakuwa hapana)Ikiwa 3/4 ya watu timam duniani wana-experience deities, unadhani waliobaki wapo timamu?
watu hawaamini ktk deities ajil ya kuaminishwa bali ni wana-experience ya deities.
Unaelewa kuwa hoja ya kila kitu kina chanzo inaonesha Mungu muumba vyote hawezi kuwepo?
Unaelewa kwa hoja hiyo, na Mungu huyo naye atahitaji chanzo, na akishakuwa na chanzo tayari anakuwa si Mungu muumba vyote?