Science ina support uwepo wa Mungu

Science ina support uwepo wa Mungu

Kimeundwa na nini mkuu? Naomba unijuze?
Kwanza kabisa, mtu anaposema "kila kitu" ana maana gani? Anajuaje hicho anachofikiri "kila kitu" ni kila kitu kweli na hakuna cha zaidi kioicho tofauti na anavyofikiri?

Tumeona hapo juu haiwezekani kila kitu kiwe kimeundwa na atom kwa sababu atom yenyewe inaundwa kwa vitu vinaitwa subatomic particles.
 
Kwanza kabisa, mtu anaposema "kila kitu" ana maana gani? Anajuaje hicho anacjofikiri "kila kitu" ni kila kitu kweli na hakuna cha zaidi?

Tumeona hapo juu haiwezekani kila kitu kiwe kimeundwa na atom kwa sababu atom yenyewe inaundwa kwa vitu vinaitwa subatomic particles.
Kiranga acha kucheza na maneno mkuu. Ni kitu ( Maada) ipi hiyo isiyoundwa na atom?
 
Kwanza kabisa "kitu" si maada. Kwa hiyo swali lako la "kitu" na hili la maada ni maswali mawili tofauti.

Pili, atom yenyewe haiundwi na atom.

Huelewi wapi?

Tatu, hutakiwi kusema kila kitu kinaundwa na atom, kwa sababu hujui kila kitu.

Zaidi, kuna time, kuna space, hivi ni vitu ambavyo haviundwi na atom.
 
Hawezi kuwepo kwa dhati yake vipi wakati ameshakuwepo tayari.
Ameshakuwepo tayari kutoka wapi?
Hivi unamjua tunayemjadili au unaandika tu ilimradi.
Mnajadili Fictional character mnayemwita Mungu/Allah/Muumba n.k

Ndio huyo mnahangaika kumjadili na kumtetea kwa sababu hayupo na hajawahi kuwepo kujidhihirisha mwenyewe kwamba yupo.
Uwepo wa Mungu uwepo wa lazima na WA dharura. Yaani hakuna kinyume chake.
Huyo Mungu kama yupo ajitokeze mwenyewe hadharani ajidhihirishe kama ana huo uwezo.

Unacho sumbuka kumwelezea na kumuongelea ni nini?

Si atoke huko alipo ajitetee mwenyewe kama ana huo uwezo.
Nachotaka Mimi ni wewe uguse hoja yangu kwa kukikosoa na kuonyesha uongo au udhaifu wake.
Udhaifu unaanza kwa huyo Mungu wenu mchovu na mdhaifu ambaye hawezi kujidhihirisha mwenyewe, kujitetea mwenyewe na kujiongelea mwenyewe yeye kama yeye, kwamba yupo.

Ni ninyi tu mnahangaika kumtetea huyo Mungu wenu mchovu na mdhaifu.
Thibitisha ya kuwa tumemtunga na onyesha wapi tumeshindwa kuthibitisha uwepo wake ?!
Mmemtunga huyo Mungu vichwani mwenu kwa sababu huyo Mungu kama yupo ajitokeze hadharani mwenyewe ajidhihirishe na kujiongelea kama ana huo uwezo.

Sio Ninyi mnahangaika kumtetea na kumuongelea.

Huyo Mungu wenu atoke huko alipo, Aache kujificha kama mwali.
Safi kabisa, tuambie hivyo vitu imekuwaje vikawepo na utuambie ulazima wa kutokuwa na muanzilishi wa vitu hivyo.
Vitu vipo kwa sababu vilikuwepo na ndio maana tumevikuta vipo.

Vitu visingekuwepo, tusingevikuta vipo.

Kama kila kitu kilichopo lazima kiwe na muanzilishi wake, Hata muanzilishi wa kila kitu lazima awe na muanzilishi wake mwingine.

Ili ulazima huu, U apply kwa kila kitu. Na hivyo kutakuwa na "Waanzilishi" wengi wasiokuwa na mwisho(Endless) to infinity...

Pasiwepo kitu chochote kile kilicho jitokeza chenyewe pasipo muanzilishi, Maana kitazua maswali ya kiliwezaje kuwepo pasipo muanzilishi.

Na kama si lazima kwamba kila kitu kilichopo kina muanzilishi, Hata ulimwengu na vyote vilivyomo except man-made things, Havina na havihitaji kuwa na muanzilishi.
Tunakuuliza wewe, chanzo cha kila kitu vipi kiwe kimeumbwa ?
Hicho chanzo kiliwezaje kuwepo chenyewe tu from nowhere?

Kabla hicho "chanzo cha kila kitu" hakijawa chanzo, kilikuwa wapi?

Huko kilipokuwa kulitoka wapi na kuliumbwa na nani?
Swali lako ni swali la uongo. Unakubali Kuna infinity series ?
Unaelewa maana ya infinity?

Infinity maana yake, Hakuna mwisho.
Au una ufahamu kidogo wa Sayansi yenu, ambayo nayo inathibitisha ulazima wa uwepo chanzo ambacho hakihitaji chanzo ? Una idea kidogo na Entropy au Thermodynamics ? Ili uelewe ulazima wa chanzo kisicho na chanzo ?

Hapa nataka mtu mwenye uwezo wa kufikiri kielimu na kiuhalisia sio kifalsafa.
Kwanza thibitisha uwepo wa huyo Mungu, USITUMIE Vitu ambavyo tayari vipo kwenye existence vyenyewe, kusema kwamba viliumbwa na huyo Mungu wenu wa kufikirika.

Thibitisha uwepo wa huyo Mungu, yeye kama yeye.

Au ukishindwa, Mwambie huyo Mungu wako aje ajidhihirishe mwenyewe na kujithibitisha yupo, Kama ana huo uwezo.
 
Kwanza kabisa "kitu" si maada. Kwa hiyo swali lako la "kitu" na hili la maada ni maswali mawili tofauti.

Pili, atom yenyewe haiundwi na atom.

Huelewi wapi?

Tatu, hutakiwi kusema kila kitu kinaundwa na atom, kwa sababu hujui kila kitu.

Zaidi, kuna time, kuna space, hivi ni vitu ambavyo haviundwi na atom.
Hahaha.. You’re spectacularly ingenious!
 
Andika vitu vyenye uhalisia. Unajua maana ya Imani ?
Imani ni kutokuwa na uhakika juu ya jambo au kitu fulani.
Kama huamini kwenye kuamini unafanya nini au upo upande gani ?
Nipo upande wa kujua kwa uhakika, ushahidi na uthibitisho.

Sihitaji kuamini, Nahitaji kujua kwa uhakika kabisa.
Nani alikwambia Imani haina hakika ? Imani imegawanyika, na Imani sahihi inatanguliwa kwanza na elimu kujua kuwa na uhakika kisha kusadiki kwa moyo, hii ndio Imani.
Wewe una imani ya kwamba unaitwa kisai au unajua kwamba wewe unaitwa kisai?

Una amini au unajua?
Unahitaji kujua kwa misingi gani ? Ya logic au Falsafa ? Una uhakika na ala unazotumia ili ujue jambo ?
Nahitaji kujua kwa uthibitisho na ushahidi.
 
Salaam wakuu,

Science inasema, kila kitu kimeundwa na atom, bt maandiko yanasema, kila kitu kimeundwa Mungu.

Science inasema atom imeundwa na sehem 3(proton, neuron & electron bt maandiko yanasema Mungu anaundwa na sehem 3(Mungu baba, mwana & roho mtakatifu).

Kwa mtiririko huo, nahitimisha kwa kusema, science inasupport uwepo wa Mungu kwa 100%.
Kama kilakitu kimeundwa Je...? Mungu aliumbwa na Atom ( Proton, Neuron & electron) au aliumbwa na 3 ( M/baba, M/mama na roho/M).

Au Mungu hakuumbwa, na kama hakuumbwa alitokea wapi...?
 
Ameshakuwepo tayari kutoka wapi?

Mnajadili Fictional character mnayemwita Mungu/Allah/Muumba n.k

Ndio huyo mnahangaika kumjadili na kumtetea kwa sababu hayupo na hajawahi kuwepo kujidhihirisha mwenyewe kwamba yupo.

Huyo Mungu kama yupo ajitokeze mwenyewe hadharani ajidhihirishe kama ana huo uwezo.

Unacho sumbuka kumwelezea na kumuongelea ni nini?

Si atoke huko alipo ajitetee mwenyewe kama ana huo uwezo.

Udhaifu unaanza kwa huyo Mungu wenu mchovu na mdhaifu ambaye hawezi kujidhihirisha mwenyewe, kujitetea mwenyewe na kujiongelea mwenyewe yeye kama yeye, kwamba yupo.

Ni ninyi tu mnahangaika kumtetea huyo Mungu wenu mchovu na mdhaifu.

Mmemtunga huyo Mungu vichwani mwenu kwa sababu huyo Mungu kama yupo ajitokeze hadharani mwenyewe ajidhihirishe na kujiongelea kama ana huo uwezo.

Sio Ninyi mnahangaika kumtetea na kumuongelea.

Huyo Mungu wenu atoke huko alipo, Aache kujificha kama mwali.

Vitu vipo kwa sababu vilikuwepo na ndio maana tumevikuta vipo.

Vitu visingekuwepo, tusingevikuta vipo.

Kama kila kitu kilichopo lazima kiwe na muanzilishi wake, Hata muanzilishi wa kila kitu lazima awe na muanzilishi wake mwingine.

Ili ulazima huu, U apply kwa kila kitu. Na hivyo kutakuwa na "Waanzilishi" wengi wasiokuwa na mwisho(Endless) to infinity...

Pasiwepo kitu chochote kile kilicho jitokeza chenyewe pasipo muanzilishi, Maana kitazua maswali ya kiliwezaje kuwepo pasipo muanzilishi.

Na kama si lazima kwamba kila kitu kilichopo kina muanzilishi, Hata ulimwengu na vyote vilivyomo except man-made things, Havina na havihitaji kuwa na muanzilishi.

Hicho chanzo kiliwezaje kuwepo chenyewe tu from nowhere?

Kabla hicho "chanzo cha kila kitu" hakijawa chanzo, kilikuwa wapi?

Huko kilipokuwa kulitoka wapi na kuliumbwa na nani?

Unaelewa maana ya infinity?

Infinity maana yake, Hakuna mwisho.

Kwanza thibitisha uwepo wa huyo Mungu, USITUMIE Vitu ambavyo tayari vipo kwenye existence vyenyewe, kusema kwamba viliumbwa na huyo Mungu wenu wa kufikirika.

Thibitisha uwepo wa huyo Mungu, yeye kama yeye.

Au ukishindwa, Mwambie huyo Mungu wako aje ajidhihirishe mwenyewe na kujithibitisha yupo, Kama ana huo uwezo.

Kujadili hoja za uwepo wa Mungu kwa mtu ambaye hana imani ni changamoto sana

Kila kitu kilicho katika uhalisia (existence) kina sababu ya kuwepo kwake. Ulimwengu hauwezi kuwa umejitokeza wenyewe. Kuna haja ya "Sababu ya Awali" isiyo na chanzo wala kikomo, ambayo ni Mungu.

Hii si kutegemea vitu vilivyopo, bali ni hoja ya kimantiki kwamba kila athari lazima iwe na chanzo chake. Mungu anachukuliwa kuwa chanzo kisicho na chanzo, mwenye asili ya milele.

Tunaweza kuona muundo wa hali ya juu (complexity) katika vitu kama DNA, sheria za fizikia, na mifumo ya uhai. Muundo wa hali ya juu mara nyingi hutokana na mjenzi mwenye akili.
Hii inaonyesha uwezekano wa kuwepo kwa akili ya hali ya juu (Mungu) iliyoanzisha muundo huu, hata kama haionyeshi moja kwa moja sura ya Mungu.

Ikiwa Mungu hayupo, maadili ya kawaida (kama haki au wema) hayana msingi thabiti. Kwa nini tunahisi dhana ya "haki" au "baya" ikiwa hazitokani na chanzo cha hali ya juu?

Maadili ya kawaida yanaweza kueleweka kama ushahidi wa uwepo wa Mungu ambaye ndiye chanzo cha kanuni hizi zisizoonekana.

Watu wengi wana ushuhuda wa kibinafsi wa kuwasiliana na Mungu, kubadilishwa maisha yao, au kuona miujiza.

Ingawa si rahisi kuthibitisha hii kisayansi, idadi kubwa ya ushuhuda huu haiwezi kupuuzwa kwa urahisi.

Mungu hajidhihirishi wazi kwa sababu ya kutoa uhuru wa kuamini au kutokuamini, ili kujaribu imani ya watu.

Historia ya kidini, kama ilivyo kwenye Biblia, inatoa mifano ambapo Mungu alijidhihirisha (mfano, kwa Musa, Ibrahimu, na wengine). Kwa nini hatujidhihirishi kila mara leo? Mungu anaweza kuwa na sababu ambazo hatuelewi kikamilifu.
 
Mimi siandiki tu kwamba ili nijifurahishe, nyinyi nawajua ni dhaifu sana kwa hoja kushinda nyumba ya bui bui.
Hata nyie waamini Mungu ni wadhaifu sana. Na mmeshindwa na hamuwezi kuthibitisha uwepo wa huyo Mungu wenu mnayedai yupo.

Pia huyo Mungu wenu ni mdhaifu na mchovu sana.

Kwanza, Huyo Mungu wenu kashindwa kujidhihirisha mwenyewe, yeye kama yeye, kwamba yupo. Ni ninyi tu mnahangaika kumwelezea na kumuongelea.

Huu tayari ni uthibitisho tosha kwamba huyo Mungu wenu mmemtunga vichwani mwenu na mnakazana kufosi aonekane yupo.

Kumbe hayupo na hajawahi kuwepo kujidhihirisha mwenyewe, kujiongelea mwenyewe na kujitetea mwenyewe kwamba yupo.

Huu tayari ni UDHAIFU wenu. Pamoja na wa huyo Mungu wenu mchovu na mdhaifu ambaye hawezi hata kujitetea mwenyewe mpaka apiganiwe.
Twende kazi ila usikimbie mjadala na ukiulizwa maswali jibu, tuone nani anayeshambuliwa na nani muongo.

Tuanzia katika uongo wako juu ya Qur'an. Unajua Qur'an walau hata kuisoma au inafanana vipi ? Kingine naomba uthibitishe ya kuwa Qur'an ni Hadithi na kwanini unaandika uongo juu ya Qur'an.
Quran ni hadithi kama hadithi zingine tu.

Hiyo Quran yenu ina eleza kwamba huyo "Allah" wenu ana nguvu sana na uwezo.

Ila mpaka sasa Allah huyo Kashindwa kujitetea mwenyewe kwamba yupo, Ni nyie tu mnahangaika kumwelezea na kumtetea "Allah mchovu na mdhaifu" ambaye hawezi hata kujitetea mwenyewe kwamba yupo.

Huu ni uthibitisho tosha hiyo Quran yenu ni hadithi za kutungwa na kusadikika sawa na hekaya za Abunuwasi.
Hili ni swali la msingi kwanza ili kujua ufahamu wako na uwezo wako wa kujenga hoja. Sababu kuandika uongo juu ya jambo usilo lijua ni upunguani wa akili.

Mola wetu hakuwahi kutokuwepo, yeye yupo.
Huyo Mola wenu kama yupo, Ajidhihirishe mwenyewe kwamba yupo kama ana huo uwezo.

Unacho hangaika kumtetea ni nini?

Huyo Mola wenu ni mdhaifu na mchovu sana. Kwa sababu hawezi hata kujitetea mwenyewe.
Jibu la swali lako hili hapa :

It was narrated that Abu Razeen said: O Messenger of Allah, where was our Lord before He created His creation? He said: “Nothing existed but Him, with nothing beneath Him and nothing above Him. Then He created His Throne above the water.”

Narrated by at-Tirmidhi (3109), Ibn Maajah (182) and Ahmad (15755).

Swali la pili la uongo na halina maana, sababu halina uhalisia. Huu utoto ndio huwa hatuutaki mnaandika andika tu vitu pasi na kujua mnachokojadili ni kipi. Mfano ukikaa ukatumia akili na kufikiria. Swali lako linaishia wapi. Yaani ukomo wake ni upi ?

Kingine nataka uniambie uthibitisho kwako wewe ni upi na una sifa gani ? Ili tupime unachokiandika ni sahihi au la.

Kingine nataka uje ututhibitishie ya kuwa Qur'an au Hadithi ni uongo na haufai kuwa uthibitisho.

Usikimbie hoja Wala maswali.
Kutumia Quran kama uthibitisho wa Mungu ni sawa na kutumia Comic book kusema ndio uthibitisho wa Harry Potter.
 
Kujadili hoja za uwepo wa Mungu kwa mtu ambaye hana imani ni changamoto sana
Huyo Mungu kama yupo, kwa nini uhitaji imani ya kumwamini?

Badala ya kumjua kwa uhakika, ushahidi na uthibitisho kabisa kwamba yupo?

Mungu angekuwepo kweli Kusingekuwa hata na haja ya kuhoji uwepo wake.

Kila mtu angejua na angefahamu kwa uhakika kabisa kwamba Mungu yupo.

Mungu hayupo ndio maana mnahangaika kumtetea yupo. Kwa sababu huyo Mungu mmemtunga vichwani mwenu tu, Wala hamna uthibitisho wa uwepo wake.

Huyo Mungu wenu kama yupo ajitokeze hadharani mwenyewe ajidhihirishe yupo kama ana huo uwezo.
Kila kitu kilicho katika uhalisia (existence) kina sababu ya kuwepo kwake. Ulimwengu hauwezi kuwa umejitokeza wenyewe. Kuna haja ya "Sababu ya Awali" isiyo na chanzo wala kikomo, ambayo ni Mungu.
Hata huyo Mungu wenu haiwezekani ajitokeze mwenyewe tu.

Kama umeweza kuamini Mungu usiyemjua wala huwezi kuthibitisha uwepo wake hana chanzo, Unashindwaje kujua pia ulimwengu hauna na hauhitaji Chanzo?

Kama ulimwengu lazima uwe na chanzo, Hata huyo Mungu wenu lazima awe na chanzo.

Na kama huyo Mungu wenu hana chanzo, Hata Ulimwengu hauna chanzo.

Na huyo Mungu mmemtunga vichwani mwenu tu, Na wala huwezi kuthibitisha uwepo wake. Unafosi fosi tu uwepo wake.

Hii si kutegemea vitu vilivyopo, bali ni hoja ya kimantiki kwamba kila athari lazima iwe na chanzo chake. Mungu anachukuliwa kuwa chanzo kisicho na chanzo, mwenye asili ya milele.
Kwanza thibitisha uwepo wa huyo Mungu, Kabla ya kusema ndio chanzo cha kila kitu.

Hujathibitisha Mungu yupo, Unarukia kusema yeye ndio chanzo cha kila kitu.

Anza kwanza kuthibitisha uwepo wa huyo Mungu, Kabla hujasema ndio chanzo cha kila kitu.
Tunaweza kuona muundo wa hali ya juu (complexity) katika vitu kama DNA, sheria za fizikia, na mifumo ya uhai. Muundo wa hali ya juu mara nyingi hutokana na mjenzi mwenye akili.
Hii inaonyesha uwezekano wa kuwepo kwa akili ya hali ya juu (Mungu) iliyoanzisha muundo huu, hata kama haionyeshi moja kwa moja sura ya Mungu.

Ikiwa Mungu hayupo, maadili ya kawaida (kama haki au wema) hayana msingi thabiti. Kwa nini tunahisi dhana ya "haki" au "baya" ikiwa hazitokani na chanzo cha hali ya juu?

Maadili ya kawaida yanaweza kueleweka kama ushahidi wa uwepo wa Mungu ambaye ndiye chanzo cha kanuni hizi zisizoonekana.

Watu wengi wana ushuhuda wa kibinafsi wa kuwasiliana na Mungu, kubadilishwa maisha yao, au kuona miujiza.

Ingawa si rahisi kuthibitisha hii kisayansi, idadi kubwa ya ushuhuda huu haiwezi kupuuzwa kwa urahisi.

Mungu hajidhihirishi wazi kwa sababu ya kutoa uhuru wa kuamini au kutokuamini, ili kujaribu imani ya watu.

Historia ya kidini, kama ilivyo kwenye Biblia, inatoa mifano ambapo Mungu alijidhihirisha (mfano, kwa Musa, Ibrahimu, na wengine). Kwa nini hatujidhihirishi kila mara leo? Mungu anaweza kuwa na sababu ambazo hatuelewi kikamilifu.
Kwanza kama huyo Mungu yupo, Mnacho hangaika kumtetea na kumweleza ni nini?

Huyo Mungu kama yupo ajitokeze mwenyewe ajiongelee na kujielezea, Kama ana huo uwezo.

Vinginevyo, Huyo Mungu mmemtunga vichwani mwenu tu na wala huwezi kuthibitisha uwepo wake.

Mungu hajawahi kuwepo, hayupo na hatakaa awepo.
 
Nitakujibu kimaandiko ya Biblia na kifalsafa wakiwepo hao ma atheist wanaowafundisheni huu uzushi

1. Kwanini Mungu anahitaji imani? Kwanini asijidhihirishe moja kwa moja?

Biblia inasisitiza Imani:
"Lakini pasipo imani haiwezekani kumpendeza Mungu; kwa maana yeye amwendeaye Mungu lazima aamini ya kwamba yeye yuko, na kwamba huwapa thawabu wale wamtafutao." (Waebrania 11:6).
Mungu aliamua kuwasiliana nasi kupitia imani kwa sababu imani ni uamuzi wa hiari unaotoka moyoni. Ikiwa Mungu angejitokeza kwa dhahiri kila wakati, hatungehitaji imani bali tungekuwa kama mashine zinazomtii kwa shuruti, si kwa upendo.

Kifalsafa:
Wanafalsafa kama Søren Kierkegaard walieleza kuwa imani ni hatua ya ujasiri inayochukuliwa bila kuwa na uhakika kamili wa hisia au ushahidi wa moja kwa moja. Mungu kutotokea kwa wazi kunaweka nafasi ya uchaguzi wa hiari, ambao ni kipimo cha kweli cha uhusiano wa mtu na Mungu.

Kutoka kwa atheists:
Richard Dawkins, ingawa ni atheist maarufu, anasema katika kitabu chake The God Delusion:

"Hakuna uamuzi wa kiuhakika wa kama Mungu yupo au hayupo, bali tunategemea ushahidi wa moja kwa moja au wa kisayansi."
Hata atheists wanakubali kuwa maswali ya uwepo wa Mungu yanaweza kutegemea mambo yasiyo ya kimahesabu bali ya kifalsafa na kihisia.

2. Kama Mungu angekuwepo, kwa nini kuna mjadala juu ya uwepo wake?

Biblia inasema watu wanapenda giza kuliko nuru:
"Na hii ndiyo hukumu, ya kwamba nuru imekuja ulimwenguni, na watu wakapenda giza kuliko nuru; kwa maana matendo yao yalikuwa maovu." (Yohana 3:19).
Uwepo wa Mungu hautegemei tu watu kumtambua; wengine hukataa kwa sababu ya upinzani wa mioyo yao au kutafuta uhuru wa kuishi bila viwango vya kiroho.

Kifalsafa:
Hoja ya Thomas Aquinas inasema kuwa Mungu anatambulikana kupitia maajabu ya viumbe na mpangilio wa ulimwengu. Lakini watu hutafsiri ushahidi huo kulingana na imani zao binafsi. Kwa mfano, uwepo wa sheria za maumbile huthibitisha kanuni za mpangilio, lakini kwa wengine ni sababu ya kumkataa Mungu.

3. Kwa nini Mungu asijitokeze moja kwa moja?

Biblia inasema Mungu ameonyesha uwepo wake kwa njia mbalimbali:
"Kwa maana mambo yake yasiyoonekana tangu kuumbwa ulimwengu yanaonekana, na kufahamika kwa kazi yake; yaani, uwezo wake wa milele na Uungu wake; hata watu hawana udhuru." (Warumi 1:20).
Mungu amejidhihirisha kupitia uumbaji, manabii, na Yesu Kristo (Yohana 1:14). Suala sio kwamba Mungu hajitokezi, bali wengi hupuuza au hawatambui ufunuo Wake.

Kifalsafa:
Mungu kuwa asiyetegemea mwili au ulimwengu wa kimwili ni hoja ya nguvu katika falsafa ya teolojia. Kama kiini cha ulimwengu ni cha kiroho, basi hatuwezi kutegemea njia za mwili kuona chanzo hicho.

4. Kama ulimwengu una chanzo, kwa nini Mungu hana chanzo?

Biblia inamwelezea Mungu kama wa milele:
"Bwana, wewe umekuwa makazi yetu tangu zamani zote. Kabla milima haijazaliwa, wala hujaiumba dunia na ulimwengu, Naam, tangu milele hata milele ndiwe Mungu." (Zaburi 90:1-2).
Mungu hana chanzo kwa sababu Yeye ni wa milele. Ulimwengu, kwa upande mwingine, unaonyesha dalili za kuwa na mwanzo (Mfano: Big Bang).

Kifalsafa:
Aristotle alibuni dhana ya "Mfungamanishi wa Mwisho" (Unmoved Mover). Kwa maneno mengine, lazima kuwe na kitu kisicho na chanzo kinachoanzisha kila kitu kingine. Mungu anaeleweka katika falsafa kama msingi wa kuwepo (necessary being).

Kutoka kwa atheists:
Lawrence Krauss katika kitabu chake A Universe from Nothing anasema kuwa hata wazo la ulimwengu kutokea kutoka "sifuri" bado linahitaji mazingira ambayo si sifuri kabisa. Hoja hii inaunga mkono wazo kuwa kitu kisicho cha kawaida kiliunda ulimwengu.

5. Kwa nini watu wanahangaika kumtetea Mungu?

Biblia inatuagiza kufanya hivyo:
"Lakini mtakaseni Kristo kuwa Bwana mioyoni mwenu. Mwe tayari sikuzote kumjibu kila mtu awaulizaye habari za tumaini lililo ndani yenu, lakini kwa upole na kwa hofu." (1 Petro 3:15).
Wakristo wanamtetea Mungu kwa sababu ya uhusiano wao binafsi na Mungu na agizo la kushuhudia uaminifu wake.

Kifalsafa:
Kutetea hoja za Mungu ni sehemu ya mijadala ya binadamu kuhusu maswali makubwa ya maisha. Hili ni jukumu la kiakili na kiroho.
 
Kutumia Biblia kusema kwamba ndio uthibitisho wa uwepo wa Mungu, Ni sawa na kutumia Comic book kusema ndio uthibitisho wa uwepo wa Harry Potter.
 
Kwakuwa hutaki nitumie biblia ,Mimi Niko tayari kutumia hao hao Atheist waliowapotezeni ,

1. Hoja za Kisayansi na Wanamageuzi Waliobadilika Msimamo

Anthony Flew

Anthony Flew alikuwa mmoja wa mafilosofa maarufu wa atheism kwa miongo mingi. Lakini mwishoni mwa maisha yake, alibadilisha msimamo na kuandika kitabu "There Is a God: How the World's Most Notorious Atheist Changed His Mind".

Sababu kuu za mabadiliko yake zilikuwa:

1. Ugumu wa kuelezea asili ya maumbile bila kuwepo akili ya juu (Intelligent Design).

2. Ugunduzi wa DNA, ambao unaonyesha "mpangilio wa hali ya juu na wa kiakili."

3. Sheria za asili ambazo zinaonekana kuwa na mpangilio wa kimakusudi.

Flew alisema:
"Ninahisi kwamba ubunifu wa maumbile ya asili ni ushahidi wa kuwepo kwa Akili ya Juu zaidi."

2. Hoja za Falsafa za Wanafalsafa wa Kale

Hata baadhi ya wanafalsafa waliokuwa na mashaka juu ya imani ya kidini walikubali uwezekano wa kuwepo kwa Mungu:

Bertrand Russell

Bertrand Russell alikuwa mfuasi wa falsafa ya atheism. Katika kitabu chake "Why I Am Not a Christian", anakosoa dini nyingi, lakini alikiri kuwa hoja za uwepo wa Mungu kama vile Hoja ya Mwanzo wa Ulimwengu (Cosmological Argument) na Hoja ya Mpangilio (Teleological Argument) zina nguvu, japokuwa hakuzikubali kikamilifu.

Alisema:
"Ingawa sina imani na dini, siwezi kukataa kwamba ulimwengu unaonekana kuwa na mpangilio wa ajabu unaoashiria kitu zaidi ya bahati nasibu."

3. Ushuhuda wa Wanataaluma wa Kisayansi Wanaotambua Uwepo wa Mungu

Francis Collins

Francis Collins, mwanasayansi maarufu aliyeongoza mradi wa Human Genome Project, alikuwa atheist kabla ya kubadilika kuwa muumini. Katika kitabu chake "The Language of God: A Scientist Presents Evidence for Belief", Collins anaeleza jinsi ugunduzi wa DNA ulimshawishi kuamini kwamba Mungu yupo.

Alisema:
"DNA ni kama lugha ya Mungu. Kila mfuatano wa misimbo ni ushahidi wa akili ya juu iliyounda uhai."

Albert Einstein

Ingawa Einstein hakujihusisha na dini ya kidogma, alisema:
"Ninapenda dini ya asili ya ulimwengu. Uelewa wa sheria za maumbile hufanya moyo wangu kushangaa mbele ya akili kubwa inayosimamia ulimwengu."

4. Ushuhuda wa Atheists Waliobadilisha Msimamo

C.S. Lewis

C.S. Lewis, mwandishi wa vitabu vya The Chronicles of Narnia, alikuwa atheist kwa miaka mingi kabla ya kuwa Mkristo. Katika kitabu chake "Mere Christianity", anaeleza:

Alianza kama atheist kwa sababu aliona maumivu na mateso duniani.

Lakini aligundua kuwa kuwepo kwa viwango vya maadili vyenye nguvu kulihitaji chanzo cha juu zaidi, ambacho ni Mungu.

Alisema:
"Wazo la haki na maadili haliwezi kutoka katika ulimwengu wa nasibu. Lazima kuwe na chanzo cha kiroho."

5. Hoja za Kifalsafa na Kisayansi kwa Ufupi

Hoja ya Mpangilio wa Ulimwengu (Teleological Argument)

Ulimwengu unaonyesha mpangilio wa hali ya juu unaoelekea kuwa na makusudi.

Atheist maarufu Fred Hoyle alisema:
"Uwezekano wa uhai kutokea kwa bahati nasibu ni sawa na tufani kupiga karakana na kuunda Boeing 747."

Hoja ya Mwanzo wa Ulimwengu (Kalam Cosmological Argument)

Kila kilicho na mwanzo kina sababu.

Ulimwengu una mwanzo (mfano: Big Bang).

Kwa hiyo, ulimwengu una sababu ambayo iko nje ya muda na nafasi.

6. Je, Biblia na Harry Potter Ni Sawa?

Hoja kwamba kutumia Biblia ni kama kutumia Harry Potter ni potofu kwa sababu:

1. Biblia ni Kitabu cha Kihistoria:

Tofauti na Harry Potter, Biblia ina nyaraka za kihistoria zinazothibitishwa na vyanzo vingine vya kale kama vile maandishi ya Wayahudi, Warumi, na Wagiriki.

Mifano: Wanaakiolojia wamegundua maeneo na matukio yaliyotajwa katika Biblia (kama Yeriko na Uyahudi wa kale).

2. Uthibitisho wa Nje:

Vyanzo vya kihistoria vya nje ya Biblia, kama vile kazi za Josephus na Tacitus, vinathibitisha baadhi ya matukio ya Biblia, kama kuwepo kwa Yesu.

3. Maisha ya Watu Waliobadilika:

Biblia ina nguvu za kubadilisha maisha, na mamilioni ya watu wametoa ushuhuda wa mabadiliko ya kiroho kupitia imani yao.
 
Kujadili hoja za uwepo wa Mungu kwa mtu ambaye hana imani ni changamoto sana

Kila kitu kilicho katika uhalisia (existence) kina sababu ya kuwepo kwake. Ulimwengu hauwezi kuwa umejitokeza wenyewe. Kuna haja ya "Sababu ya Awali" isiyo na chanzo wala kikomo, ambayo ni Mungu.

Hii si kutegemea vitu vilivyopo, bali ni hoja ya kimantiki kwamba kila athari lazima iwe na chanzo chake. Mungu anachukuliwa kuwa chanzo kisicho na chanzo, mwenye asili ya milele.

Tunaweza kuona muundo wa hali ya juu (complexity) katika vitu kama DNA, sheria za fizikia, na mifumo ya uhai. Muundo wa hali ya juu mara nyingi hutokana na mjenzi mwenye akili.
Hii inaonyesha uwezekano wa kuwepo kwa akili ya hali ya juu (Mungu) iliyoanzisha muundo huu, hata kama haionyeshi moja kwa moja sura ya Mungu.

Ikiwa Mungu hayupo, maadili ya kawaida (kama haki au wema) hayana msingi thabiti. Kwa nini tunahisi dhana ya "haki" au "baya" ikiwa hazitokani na chanzo cha hali ya juu?

Maadili ya kawaida yanaweza kueleweka kama ushahidi wa uwepo wa Mungu ambaye ndiye chanzo cha kanuni hizi zisizoonekana.

Watu wengi wana ushuhuda wa kibinafsi wa kuwasiliana na Mungu, kubadilishwa maisha yao, au kuona miujiza.

Ingawa si rahisi kuthibitisha hii kisayansi, idadi kubwa ya ushuhuda huu haiwezi kupuuzwa kwa urahisi.

Mungu hajidhihirishi wazi kwa sababu ya kutoa uhuru wa kuamini au kutokuamini, ili kujaribu imani ya watu.

Historia ya kidini, kama ilivyo kwenye Biblia, inatoa mifano ambapo Mungu alijidhihirisha (mfano, kwa Musa, Ibrahimu, na wengine). Kwa nini hatujidhihirishi kila mara leo? Mungu anaweza kuwa na sababu ambazo hatuelewi kikamilifu.
Unaelewa kuwa hoja ya kila kitu kina chanzo inaonesha Mungu muumba vyote hawezi kuwepo?

Unaelewa kwa hoja hiyo, na Mungu huyo naye atahitaji chanzo, na akishakuwa na chanzo tayari anakuwa si Mungu muumba vyote?
 
Wala hayachanganyi mkuu, atheist ni wagonjwa wa akili, haiwezekani 3\4 ya watu duniani wana-experience ya deities alafu wao pekee wanaopinga deities ndo wajione wapo sahihi, huo ni ugonjwa wa akili.

Ikiwa 3/4 ya watu timam duniani wana-experience deities, unadhani waliobaki wapo timamu?

watu hawaamini ktk deities ajil ya kuaminishwa bali ni wana-experience ya deities.
Umezungumza kuhusu sayansi. Je unaamini kuwa jua linaizunguka dunia? (Bila shaka jibu litakuwa hapana)

Sasa vipi nikikuambia karne kadhaa zilizopita majority ya watu duniani waliamini jua linaizunguka dunia, utasemaje?

Je utasema jua ni kweli lilikuwa likizunguka dunia kwasababu lilifuata idadi ya watu wengi walioamini hivyo?

Au jua liliendelea kuwa fixed kwenye axis yake licha ya watu wengi kuamini linazunguka dunia?

Idadi ya watu wengi kuamini kitu hakuwezi kubadilisha uongo kuwa ni ukweli.

Idadi ya watu wengi kuamini kitu fulani haina maana wala haithibitishi kuwa kitu hicho kinacho aminiwa ni cha kweli na ni sahihi.

Siku zote ukweli huwa hautegemeani na idadi ya watu ambao wanakubaliana na kitu.

Ukweli unapimwa kwa uthibitisho uliopatikana.
 
Unaelewa kuwa hoja ya kila kitu kina chanzo inaonesha Mungu muumba vyote hawezi kuwepo?

Unaelewa kwa hoja hiyo, na Mungu huyo naye atahitaji chanzo, na akishakuwa na chanzo tayari anakuwa si Mungu muumba vyote?

Hoja zenu zinachekesha sana ,ila tutawajibu hivo hivo

1. Je, Kila Kitu Kina Chanzo?

Hoja kwamba kila kitu kina chanzo haimaanishi kila kitu unachokiona kina sababu inayotangulia. Badala yake, falsafa na sayansi zinaonyesha tofauti kati ya:

Vitu vilivyotegemea sababu nyingine ("contingent beings")

Kitu kisichohitaji sababu ya kuwepo ("necessary being").

Mungu, kwa mujibu wa falsafa ya dini, hafungwi na sheria za asili au wakati, hivyo hachukuliwi kama "kitu kilichotengenezwa" au "kilichoanza." Mungu huchukuliwa kama chanzo kisicho cha kawaida (uncaused cause).

Atheist Ambaye Anakiri Ugumu wa Hoja Hii:

Bertrand Russell, katika mjadala wake maarufu na Copleston, alisema:
"Ulimwengu uko tu, na hatuhitaji kueleza chanzo chake."
Lakini alikubali kwamba hoja ya kuwepo kwa kitu cha lazima ni ngumu kukanusha bila kukubali uwezekano wa Akili ya Juu.

2. Hoja ya Ulimwengu na Chanzo chake

Stephen Hawking

Stephen Hawking, ingawa alikuwa atheist, alielezea kwamba sheria za fizikia zinaonyesha ulimwengu ulianza na Big Bang. Lakini hakutoa maelezo ya chanzo cha sheria hizo:
"Kwa nini kuna kitu badala ya kutokuwa na kitu? Kwa nini ulimwengu uko jinsi ulivyo?" (The Grand Design).
Hawking anakubali kwamba sheria za asili zinahitajika kufafanuliwa, lakini hakuweza kuthibitisha jinsi zilivyojitokeza bila chanzo.

Fred Hoyle

Fred Hoyle (atheist) alishangazwa na jinsi sheria za asili zilivyoonekana kuwa maalum sana kwa uhai:
"Kuna ushahidi mkubwa kwamba akili ya juu inasimamia sheria za ulimwengu."

Hoja ya Mpangilio Maalum:

Ikiwa ulimwengu unaanza na Big Bang, tunauliza: Nini kilichosababisha Big Bang?

Ikiwa sheria za fizikia zinaonekana kuwa za milele, bado tunahitaji kueleza: Nini chanzo cha hizo sheria?
Kwa hivyo, kuna nafasi ya kudai chanzo kisicho cha kawaida, ambacho hakihitaji sababu kingine, ambacho ni Mungu.

3. Kwa Nini Mungu Haitaji Chanzo?

Kitu Kisicho cha Muda (Timeless)

Wakati na nafasi (space-time) vilianza na Big Bang. Mungu, kwa ufafanuzi wa falsafa ya kidini, yupo nje ya muda na nafasi, hivyo hana mwanzo wala haja ya chanzo.

Lawrence Krauss na "Something from Nothing"

Katika kitabu chake A Universe from Nothing, Krauss anajaribu kuelezea jinsi ulimwengu ulivyoweza kujitokeza bila chanzo. Lakini hoja yake inategemea "nothing" ambayo si kweli ni nothing. Hii ni kwa sababu:

"Nothing" ya Krauss bado ina sheria za quantum ambazo ni sehemu ya kitu.

Hata Krauss alikiri kwamba ni vigumu kuelezea kwa nini sheria hizo zipo.

Hoja za Wanateolojia wa Kisayansi:

Wanasema, "Ikiwa kuna chanzo cha kwanza, basi hakina sababu ya kuumbwa. Mungu ndiye sababu ya kuwepo kwa ulimwengu."

4. Ushuhuda wa Atheists Maarufu Walioshindwa Kukanusha

Richard Dawkins

Katika kitabu chake The God Delusion, Dawkins anakubali kwamba hawezi kuthibitisha kwamba Mungu hayupo. Alisema:
"Mungu wa theolojia anaweza kuwa si wa kweli, lakini kuna nafasi kwamba aina fulani ya chanzo kisichofahamika ipo."

Sam Harris

Sam Harris, atheist mwingine maarufu, alisema:
"Ukweli kwamba hatujui chanzo cha kila kitu hakumaanishi kwamba hakuna chanzo kisichoeleweka zaidi ya akili yetu."

5. Je, Chanzo cha Mungu ni Hoja Halali?

Hoja kwamba Mungu anapaswa kuwa na chanzo ni potofu kwa sababu Mungu anafafanuliwa kuwa "Necessary Being" - yaani, Kitu ambacho kuwepo kwake hakuhitaji chanzo kingine. Wanahistoria wa falsafa kama Thomas Aquinas walielezea:

Hoja ya Mwanzo wa Lazima (Necessary Being):

Ulimwengu unategemea kitu kingine kuwepo.

Lazima kuwe na chanzo cha lazima ambacho hakiwezi kutegemea kitu kingine.

Mungu ndiye chanzo hicho.
 
Back
Top Bottom