Science ina support uwepo wa Mungu

Ku-experience deities ni rahisi sana, coz wenye magonjwa ya kiroho, wakipelekwa hospital hawatibiki isipokua hutibiwa huduma za kiroho, na hupona.

Mungu kujitokeza ajili ya kukuridhisha wewe ni kichekesho.
 
Weka ushandi solid kuhusu hiki ulichokiandika. Iweje Mungu aruhusu yaandikwe kimakosa yale yanayomuhusu? Mungu anakubali watu wake wapotee kwa kusoma maandiko yasiyo sahihi?
Kabla sijakujibu, unaamini makosa yaliyopo kwenye maandiko ni ya Mungu?
 
Soma hapa....
"Science inasema atom imeundwa na sehem 3(proton, neuron & electron bt maandiko yanasema Mungu anaundwa na sehem 3(Mungu baba, mwana & roho mtakatifu)."
Maelezo haya, ndo yanasupport uwepo uwepo wa Mungu.
 

Hawezi kuwepo kwa dhati yake vipi wakati ameshakuwepo tayari. Hivi unamjua tunayemjadili au unaandika tu ilimradi.

Uwepo wa Mungu uwepo wa lazima na WA dharura. Yaani hakuna kinyume chake.

Nachotaka Mimi ni wewe uguse hoja yangu kwa kukikosoa na kuonyesha uongo au udhaifu wake.


Thibitisha ya kuwa tumemtunga na onyesha wapi tumeshindwa kuthibitisha uwepo wake ?!
Safi kabisa, tuambie hivyo vitu imekuwaje vikawepo na utuambie ulazima wa kutokuwa na muanzilishi wa vitu hivyo.

Tunakuuliza wewe, chanzo cha kila kitu vipi kiwe kimeumbwa ? Swali lako ni swali la uongo. Unakubali Kuna infinity series ? Au una ufahamu kidogo wa Sayansi yenu, ambayo nayo inathibitisha ulazima wa uwepo chanzo ambacho hakihitaji chanzo ? Una idea kidogo na Entropy au Thermodynamics ? Ili uelewe ulazima wa chanzo kisicho na chanzo ?

Hapa nataka mtu mwenye uwezo wa kufikiri kielimu na kiuhalisia sio kifalsafa.
 
Atheist hana imani ya aina yeyote ile.

Atheist hatuamini kwenye kuamini.

Tunataka kujua kwa uhakika, ushahidi na uthibitisho.

Sihitaji kuamini, Nahitaji kujua.

Andika vitu vyenye uhalisia. Unajua maana ya Imani ?

Kama huamini kwenye kuamini unafanya nini au upo upande gani ?

Nani alikwambia Imani haina hakika ? Imani imegawanyika, na Imani sahihi inatanguliwa kwanza na elimu kujua kuwa na uhakika kisha kusadiki kwa moyo, hii ndio Imani.

Unahitaji kujua kwa misingi gani ? Ya logic au Falsafa ? Una uhakika na ala unazotumia ili ujue jambo ?
 
Kwa hiyo Roho mtakatifu ni ELECTRON?
Make kwanza hapo ncheke 😀
 

Mimi siandiki tu kwamba ili nijifurahishe, nyinyi nawajua ni dhaifu sana kwa hoja kushinda nyumba ya bui bui.

Twende kazi ila usikimbie mjadala na ukiulizwa maswali jibu, tuone nani anayeshambuliwa na nani muongo.

Tuanzia katika uongo wako juu ya Qur'an. Unajua Qur'an walau hata kuisoma au inafanana vipi ? Kingine naomba uthibitishe ya kuwa Qur'an ni Hadithi na kwanini unaandika uongo juu ya Qur'an. Hili ni swali la msingi kwanza ili kujua ufahamu wako na uwezo wako wa kujenga hoja. Sababu kuandika uongo juu ya jambo usilo lijua ni upunguani wa akili.


Mola wetu hakuwahi kutokuwepo, yeye yupo.

Jibu la swali lako hili hapa :

It was narrated that Abu Razeen said: O Messenger of Allah, where was our Lord before He created His creation? He said: “Nothing existed but Him, with nothing beneath Him and nothing above Him. Then He created His Throne above the water.”

Narrated by at-Tirmidhi (3109), Ibn Maajah (182) and Ahmad (15755).

Swali la pili la uongo na halina maana, sababu halina uhalisia. Huu utoto ndio huwa hatuutaki mnaandika andika tu vitu pasi na kujua mnachokojadili ni kipi. Mfano ukikaa ukatumia akili na kufikiria. Swali lako linaishia wapi. Yaani ukomo wake ni upi ?

Kingine nataka uniambie uthibitisho kwako wewe ni upi na una sifa gani ? Ili tupime unachokiandika ni sahihi au la.

Kingine nataka uje ututhibitishie ya kuwa Qur'an au Hadithi ni uongo na haufai kuwa uthibitisho.

Usikimbie hoja Wala maswali.
 
Stephen Hawking ulimtumia kwenye hoja zako , Naye ni binadamu kama wengine
 
Binadamu wa kwanza alizaliwa na nani ?
 
Sema "Mimi sijui"
sio "Hatujui"
 
Kuna " matter" ambayo imeundwa na hizo protons n.k lkn kumbuka Kuna "antimatter" ambayo ni kinyume Cha matter
 
Ungemalozia tu Kwa ufupi ni kwamba wewe na roboti hamna tofauti
Roboti yupo programmed and controlled.

Mimi sipo programmed na hakuna kinacho ni control.

Tayari nipo tofauti na roboti.

Na hoja yako uliyotoa ni uongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…