Science ina support uwepo wa Mungu

Kwa hiyo unamfananisha Mungu na atom?
 

Nasubiri uthibitisho wa haya unayo yaandika.
 
Kaka
Kwani wewe ulizaliwaje?

Ulivyo zaliwa wewe na yeye hivyo hivyo.

Maana yeye ni binadamu na wewe ni binadamu.

Na ulivyo tokea wewe na yeye hivyo hivyo ndivyo alitokea.
Kaka tunajadili serious, Ni vyema ungenijibu vizuri unielezee kwa namna unavyoelewa wewe kuhusu chanzo cha binadamu wa kwanza,
 
Kaka

Kaka tunajadili serious, Ni vyema ungenijibu vizuri unielezee kwa namna unavyoelewa wewe kuhusu chanzo cha binadamu wa kwanza,
Kwa nini unadhani lazima kuna binadamu wa kwanza?

Kwa nini Hudhani hakuna binadamu wa kwanza?

Kwa sababu huu ulimwengu kila mtu amezaliwa na kuukuta. Sasa utajuaje kwamba kuna binadamu wa kwanza?

Je huyo binadamu wa kwanza kabla hajawa " binadamu wa kwanza" alikuwa wapi?

Huko alikokuwa kulitoka wapi na kuliumbwa na nani?

Mimi nasema hakuna binadamu wa kwanza, kwa sababu kila binadamu lazima awe amezaliwa kutoka kwa wazazi wake.

Hivyo hivyo to infinity...

Hakuna binadamu wa kwanza kwa watu wote.
 
Unataka uthibitisho gani?

Huyo Allah wa kwenye Quran hana tofauti na Abunuwasi wa kwenye hekaya.

Kwa sababu Allah na Abunuwasi wote ni fictional characters waliopo vitabuni tu.

Sasa unataka uthibitisho gani?
 
Uyo Hamis77 Anatumia chatgpt , AI iyo inamjibia, na iyo AI imekuwa commanded kujibu Ivo, achana nae..
Mimi mwenyewe nime notice hicho kitu

Kuna uandishi fulani ambao uliucheki tu unagundua upo programmed.

Na ndio maana unakuta kwake kuandika content ndefu chini ya muda mchache imekuwa rahisi.

Sisi tunachotaka ni majibu haijalishi anatumia njia gani, tunajua hizo bots haziwezi kuthibitisha maswala ya Mungu.
 
Unataka uthibitisho gani?

Huyo Allah wa kwenye Quran hana tofauti na Abunuwasi wa kwenye hekaya.

Kwa sababu Allah na Abunuwasi wote ni fictional characters waliopo vitabuni tu.

Sasa unataka uthibitisho gani?
Bado unarudia kosa lile lile, halafu unauliza nataka uthibitisho gani ?

Hivi huwa unasoma unachokiandika ?

Thibitisha ya kuwa Mungu ametungwa. Hujaelewa wapi ? Swali jepesi sana nimekuuliza.

Kutokujibu kwako kunaonyesha ya kuwa unayemkana humjui.

Mfano ukiniuliza habari za Abuu Nawas ( Usahihi wa jina lake unaandikwa hivi nilivyo andika) nakupa marejeo na nakuthibitishia uwepo wake ambao ni uhalisia.

Sasa huenda ni kama kawaida yenu ya kusikia dikia tu mambo na kuyaleta humu paasi na kuyafanyia uchunguzi. Huu ni uhayawani.
 
Mungu hayupo.

Ni wewe ndio unahangaika kumwelezea.

Huu ni uthibitisho tosha kwamba hayupo.

Kama huyo Mungu yupo ajitokeze mwenyewe ajiongelee, sio wewe una hangaika kumwelezea hapa.
 
Michezo ya Kiranga tumezoea.
 
Mkuu, unaposema kila kitu unamaanisha universe yetu, ambayo building blocks yake ni atom.
 
Mkuu, time na space haviundwi na atom bt vina-exist kwenye universe inayoundwa na atom.
 
Umenichekesha sana mkuu, umempiga mkwara mzito wa kutocheza na maneno then ukalala mbele.
Kiranga huwa anacheza na akili ya mtu kwa kutumia lugha na si kujibu hoja moja kwa moja. Fatilia mijadala yake
 
Mkuu, mfano wako, hauna uhalisia.

Imani ya deities, imekuwapo kabla jamii hazijaanza changamana.

Je, unadhani ni nani aliisambaza imani hiyo kwa jamii zisofahamiana dunia nzima?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…