Makwizi Band
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 1,535
- 2,565
Sasa ndio uthibitishe uwepo wa huyo Mungu wako wewe, Ambaye unadai ndio chanzo cha kila kitu.Ukinambia wewe mungu nitapinga coz wewe si chanzo cha kila kitu.
Hizo ni nadharia tu za kidini na kisayansi ambazo ni mawazo ya watu tu, Wala hazina ukweli wala uthibitisho wowote ule.Ufanano wa muundo na maelezo ya chanzo cha kila kitu(Mungu) ktk maandiko na science ni uthibitisho tosha.
Ni Mpumbavu tu awezaye kusema Kuna Mungu.ni mpumbavu tu awezaye kusema hakuna Mungu.
Mpumbavu ni yule anayeamini kuna kiumbe kiitwacho Mungu wala hajawahi kukiona na wala hawezi kuthibitisha uwepo wake, ila anafosi tu kwamba ndio kiliumba ulimwengu.Mpumbavu: ni yule ambaye hajui, na hajui kuwa hajui.
"Mpumbavu amesema moyoni mwake Kuna Mungu, Maana anaamini vitu vya kusadikika na kufikirika bila uthibitisho wowote ule, Hakuna awezacho kuthibitisha."“Mpumbavu amesema moyoni, Hakuna Mungu; Wameharibu matendo yao na kuyafanya chukizo, Hakuna atendaye mema."
— Zaburi 14:1 (Biblia Takatifu)
BarikiwaMkuu, tayari maelezo yanajitosheleza.
Werevu wenu Kuna siku utawaponza mkuuNi Mpumbavu tu awezaye kusema Kuna Mungu.
Mpumbavu ni yule anayeamini kuna kiumbe kiitwacho Mungu wala hajawahi kukiona na wala hawezi kuthibitisha uwepo wake, ila anafosi tu kwamba ndio kiliumba ulimwengu.
"Mpumbavu amesema moyoni mwake Kuna Mungu, Maana anaamini vitu vya kusadikika na kufikirika bila uthibitisho wowote ule, Hakuna awezacho kuthibitisha."
_Atheists 24:7 (Fikra Yakinifu)
Bill gates ni Atheist.Asilimia kubwa ya ethiests ni wasomi wa masomo ya art hasa history na lugha.
Kama hakuna kitu kinaweza ku exist chenyewe pasipo source/maker au creator, Huyo Mungu wako aliwezaje ku exist mwenyewe pasipo maker au creator?Mwana Sayansi anaweza akawa hana uhakika na uwepo wa Mungu lakini hawezi kubisha 100% kwamba hakuna Mungu, atabaki njiapanda cause hana proves; why anabaki njiapanda? Is because any scientist anajua, hakuna kitu.kina exist bila source or maker/creator. Uwepo wa anything duniani, there is/are creator(s) somewhere. Wasomi wa masomo ya art hawana uzoefu wa ku prove anything. Mkwawa alikufa kwa kujiua, una kariri hilo, huna prove. Vita ya majimaji ilianzishwa na Kinjekitile, una kariri hilo, huna proves; hakuna Mungu, utakariri as well cause pia hakuna prove.
Siku ipi?Werevu wenu Kuna siku utawaponza mkuu
Sijasema kama wana sayansi wote wana amini Mungu, I didn't say so, kasome tena nilicho kiandika mkuu. Nimesema, "mwana sayansi atabaki njiapanda kuhusu uwepo wa Mungu" hakuna mahali niliposema, scientists wana amini katika Mungu.Elon musk ni Atheist.
Bill gates ni Atheist.
Stephen Hawking alikuwa Atheist.
Hata wewe ulikuwa Atheist pindi ulipozaliwa.
Na kila mtu huzaliwa Atheist( Bila kuwa na imani ya aina yeyote ile) mpaka pale wazazi wako au walezi wako wanapo kuridhisha na kukupa dini na imani zao kukuaminisha wewe.
Kama hakuna kitu kinaweza ku exist chenyewe pasipo source/maker au creator, Huyo Mungu wako aliwezaje ku exist mwenyewe pasipo maker au creator?
Kwa nini umu exclude huyo Mungu wako kwenye kuwa na maker/ creator, Halafu unaanza kufosi kwamba kila kitu lazima kiwe na source?
Kama nafanya tautology, kwa nini usieleze wewe "kila kitu" ni nini ili turahishe mambo.Hujaeleza kila kitu ni nini, unarudia tu tautology.
Wewe unajuaje unachofikiri kila kitu ni kila kitu kweli na hakuna zaidi ambacho hukijui ambacho kiko tofauti na hicho unachofikiri ni kila kitu?
Mkuu mbona hata wewe unatumia nadharia na mawazo ya watu kukanusha uwepo wa mungu?Hizo ni nadharia tu za kidini na kisayansi ambazo ni mawazo ya watu tu, Wala hazina ukweli wala uthibitisho wowote ule.
Acha kupotosha watu, watu huzaliwa wakiwa hawana ufaham na si atheist kama unavodai.Hata wewe ulikuwa Atheist pindi ulipozaliwa.
Na kila mtu huzaliwa Atheist( Bila kuwa na imani ya aina yeyote ile) mpaka pale wazazi wako au walezi wako wanapo kuridhisha na kukupa dini
Sasa wewe uko sure kiasi gani na una uthibitisho upi kwamba Mungu yupo?Sijasema kama wana sayansi wote wana amini Mungu, I did say so, kasome tena nilicho kiandika mkuu. Nimesema, "mwana sayansi atabaki njiapanda kuhusu uwepo wa Mungu" hakuna mahali niliposema, scientists wana amini katika Mungu.
Nimesahau hiyo link, but ipo interview moja alifanyiwa bwana Elon Musk, aliulizwa kuhusu uwepo wa allies ambao hata humu watu wameandika sana na akaulizwa kuhusu uwepo wa Mungu; majibu yake yalikua kama ifuatavyo:-
Kama hao aliens wapo na huaga wanakuja duniani nadhani ningewaona, idadi ya satellites nilizo funga mimi pekee yangu tu huko ju, lazima zingewanasa; so sina hakika kama wapo; hapo again aliogopa sana kufanya HITIMISHO lake those bado alipata mashaka. Kuhusu Mungu, alisema, "he may exist or not, again not sure"
Madai ya uwepo wa Mungu, yametoka kwenu nyie waamini Mungu.Mkuu mbona hata wewe unatumia nadharia na mawazo ya watu kukanusha uwepo wa mungu?
Sahihi umesema, Watu huzaliwa bila ufahamu. Na kama huna ufahamu pia huwezi kuwa na imani au diniAcha kupotosha watu, watu huzaliwa wakiwa hawana ufaham na si atheist kama unavodai.
Mimi sijaleta habari za "kila kitu kinatokana na atom", sijaweka statement yoyote ya "kila kitu".Kama nafanya tautology, kwa nini usieleze wewe "kila kitu" ni nini ili turahishe mambo.
Nimejibu vile science inasema, kikitokea kitu tofauti pia science itatujuza.
Unathibitisha vipi kwamba ulimwengu una chanzo?
Atheist ni mtu asiye na imani ya aina yeyote ile.
Werevu wenu Kuna siku utawaponza mkuu
Nani kakudanganya kuwa vilikuepo kabla ya MunguMungu sio chanzo cha kila kitu sababu nayeye ana Chanzo, Logically ...
Mungu kabla hajaanza kazi, Palishakuwepo Giza na vilindi vya maji, Nani aliviumba?
Sio huyohuyo ndiye alimuumba Mungu wa kwenye biblia kisha akamuweka juu ya Maji?
View attachment 3155789