Makwizi Band
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 1,535
- 2,565
Asilimia kubwa ya ethiests ni wasomi wa masomo ya art hasa history na lugha. Mwana Sayansi anaweza akawa hana uhakika na uwepo wa Mungu lakini hawezi kubisha 100% kwamba hakuna Mungu, atabaki njiapanda cause hana proves; why anabaki njiapanda? Is because any scientist anajua, hakuna kitu.kina exist bila source or maker/creator. Uwepo wa anything duniani, there is/are creator(s) somewhere. Wasomi wa masomo ya art hawana uzoefu wa ku prove anything. Mkwawa alikufa kwa kujiua, una kariri hilo, huna prove. Vita ya majimaji ilianzishwa na Kinjekitile, una kariri hilo, huna proves; hakuna Mungu, utakariri as well cause pia hakuna prove.