Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Wewe kuna maswali huko juu, Hujibu.Mkuu tuishie hapa, maana umeishiwa hoja.
Wewe ni kichwa maji kweli.We umejuaje kama kuna satellite zinazo tupatia mawasiliano ya wireless?
Dragons 🐉 watemao moto 🔥 midomoni mwao.Unao uthibitsho wowote? Well apart from Mungu, ni JINA gani ambalo lipo hapa duniani lakini kwenye hilo jina, hicho chenye jina HAKIPO. Nitajie kimoja tu
Haya mambo yanahitaji kuchimba sana na tafiti za muda mrefu kitu ambacho hatutakubali kupoteza huo muda...lazima akili zetu ziwe huru pindi mambo kama haya yanapojadiliwa, I sense kitu kwamba in future mambo mengi yatabadilika hasa kuhusu dhana nzima ya uwepo wetu duniani, Kwa trend hii.Wala hayachanganyi mkuu, atheist ni wagonjwa wa akili, haiwezekani 3\4 ya watu duniani wana-experience ya deities alafu wao pekee wanaopinga deities ndo wajione wapo sahihi, huo ni ugonjwa wa akili.
The logic is simple, Wala Huitaji kuchimba sana.Haya mambo yanahitaji kuchimba sana na tafiti za muda mrefu kitu ambacho hatutakubali kupoteza huo muda...lazima akili zetu ziwe huru pindi mambo kama haya yanapojadiliwa, I sense kitu kwamba in future mambo mengi yatabadilika hasa kuhusu dhana nzima ya uwepo wetu duniani, Kwa trend hii.
Naamini taratibu tutafika tunapotaka, in future Kila kitu kitakuwa wazi, vingine ni ngumu kuvijadili kwasababu ya hatua tuliyopo hivi Sasa.The logic is simple, Wala Huitaji kuchimba sana.
Kama kila kitu kilichopo lazima kiwe na chanzo, Hata chanzo cha kila kitu lazima kiwe na chanzo chake kingine.
Na kutakuwa na vyanzo vingi visivyokuwa na mwisho(Endless) to infinity....
Ili ulazima huu, U apply kwa kila kitu.
Pasiwepo kitu chochote kile kilicho jitokeza chenyewe tu from nowhere, Au kilicho exist chenyewe pasipo chanzo. Maana kitazua maswali ya kiliwezaje ku exist chenyewe pasipo chanzo?
Na kama si lazima kwamba kila kitu kilichopo kina chanzo, Hata Ulimwengu na vyote vilivyomo havihitaji na havina chanzo.
Mkuu, nadhani hujaielewa mantiki yangu.Kwamba usikute kwenye sayansi Mungu ndo ameitwa atom?
NB. Naamini uwepo wa Mungu sema brother dahh
What is an atom?Mkuu, nadhani hujaielewa mantiki yangu.
Maandiko yanatueleza muumbaji wa kila kitu ni mmoja, pia science inasupport muumbaji wa kila kitu ni mmoja kupitia atom.
Mkuu, unakielewa ulichoandika?Sahihi umesema, Watu huzaliwa bila ufahamu. Na kama huna ufahamu pia huwezi kuwa na imani au dini
Atheist ni mtu asiye na imani ya aina yeyote ile.
Mtoto anapozaliwa anakuwa hana ufahamu wala imani ya aina yeyote ile. Mpaka pale atakapo aminishwa na kupewa imani/dini kutoka kwa wazazi au walezi wake.
Una elewa hilo?
Hata wewe unasema Mungu yupo kwa kutumia ufahamu.Mkuu, unakielewa ulichoandika?
Hapa unapinga uwepo wa mungu kwa kutumia ufaham, huyo mtoto asie na ufaham wa kujua/kutojua uwepo wa deities atakuwaje atheist?
Mtoto hawezi kua atheist coz hana ufaham wa kujua/kutojua uwepo wa deities.Hata wewe unasema Mungu yupo kwa kutumia ufahamu.
Ufahamu upo kwa kila mtu anaye fikia umri wa kuwa nao regardless ana amini Mungu yupo au kujua hayupo
Mtoto hana ufahamu wa kitu chochote kile, Hata imani ya uwepo wa Deities hana bado. Mpaka pale atakapo aminishwa na wazazi/walezi wake imani za Deities.
Hivyo mtoto ni Atheist kwa sababu hana imani ya aina yeyote ile.
Atheist ni mtu asiye na imani ya aina yeyote ile.
Mtoto hana ufahamu wa aina yeyote ile.Mtoto hawezi kua atheist coz hana ufaham wa kujua/kutojua uwepo wa deities.
Atheism ni kureject uwepo wa deities na si kutokua na imani yoyote kama unavodai.
Science haimini uwepo wa mungu bt inathibitisha uwepo wake kupitia atom.Sidhani kama Science ina amini uwepo wa Mungu ila Mungu yupo.
Mungu Yupo wapi?Sidhani kama Science ina amini uwepo wa Mungu ila Mungu yupo.
Mkuu, mtoto asie na ufaham wa kujua/kutojua uwepo wa deities, hawezi kua sawa na mtu anaetumia ufaham wake kupinga uwepo wa deities.Mtoto hana ufahamu wa aina yeyote ile.
Pia hawezi kuwa na imani ya aina yeyote ile.
Sawa tu na Atheist, Hatuna imani yeyote ile.
Usicho elewa ni nini?
View attachment 3156639
Msingi wa imani ni kutokuwa na uhakika.
Na sisi Atheists hatuhitaji kuwa na imani, tunahitaji kujua kwa uhakika, ushahidi na uthibitisho.
Hatuamini, tunataka kujua kwa uhakika.
This kind of fallacy is called, Logical non sequitur.Science haimini uwepo wa mungu bt inathibitisha uwepo wake kupitia atom.
Salaam wakuu,
Science inasema, kila kitu kimeundwa na atom, bt maandiko yanasema, kila kitu kimeundwa Mungu.
Science inasema atom imeundwa na sehem 3(proton, neuron & electron bt maandiko yanasema Mungu anaundwa na sehem 3(Mungu baba, mwana & roho mtakatifu).
Kwa mtiririko huo, nahitimisha kwa kusema, science inasupport uwepo wa Mungu kwa 100%.
Mkuu kutokubaliana nami, wala sio tatizo.Pamoja na kwamba mimi kama mmoja wa watu walioisoma Science angalau kwa miaka 13 nakubaliana kabisa na uwepo wa Mungu mmoja tu mwenye malaka yote. Sikubaliani kabisa na hoja zako dhaifu sijui za Mungu baba, mwana nk nk nk nk
kuna mambo mengi serious ya msingi yanayofanya wanasayansi waamini uwepo wa Mungu hasa tunapo shindwa kupata majibu ya mambo flani flani kuhusu existence of the universe; pamoja kwamba kuna watu walikuja na theory zao kama "The Big Bang theory" ila zote ni habari za kusadikika!
Kama mtoto hana ufahamu hawezi kuwa na imani ya deity yeyote yule.Mkuu, mtoto asie na ufaham wa kujua/kutojua uwepo wa deities, hawezi kua sawa na mtu anaetumia ufaham wake kupinga uwepo wa deities.
Imani ni kutokuwa na uhakika juu ya jambo fulani.Mkuu, hata kua na mtizamo/maoni tofauti juu ya jambo fulani ni imani pia.