Science ina support uwepo wa Mungu

Science ina support uwepo wa Mungu

Naheshimu maoni yako mkuu, bt kwa mujibu wa bible Mungu ni mmoja, aliejifunua kwetu ktk nafsi 3.

Soma mwanzo 1:1-3, kisha yohana 1:14.
Mkuu,
Sihitaji Uheshimu Maoni yangu nahitaji Ukosoe Maoni yangu endapo Nimekosea Na Hiyo ndo Desturi ya Majibu ya Hoja..

Hakuna sehemu Inaonyesha Mungu Kujifunua kwa Sehemu tatu kama unavyoita wewe..(Hiyo ni discussion Ambayo Imefanywa Kwa zaidi ya Miaka 1000 sasa na wanatheolojia Nikiwa Mmoja wao)

Tukianza na Hayo mafungu Uliyotoa
Mwanzo 1:1-3..
Mimi Nitachukua Mstari wa 2

Mwanzo 1:2
"..... Nayo nchi ilikuwa ukiwa, tena utupu, na giza lilikuwa juu ya uso wa vilindi vya maji; Roho ya Mungu ikatulia juu ya uso wa maji...."

Kutajwa kwa Mungu kama Roho haimaanishi kuna Mungu mwingine ambaye sio Roho..

Labda pengine Unajua Mungu kuna Umbo fulani Limekaa Linaitwa Mungu, My friend Mungu Ni roho na anaposema Roho ya Mungu ilikaa Kwenye Vilindi vya maji anamaanisha kwakuwa Dunia Nzima Ilikuwa Maji Mungu alikuwa Karibu ama alikuwepo Kwenye Maji hayo..

LEo sitaingia Sana kwenye Lugha Kiebrania na hata Kigiriki Kuelezea Maaana ya Roho..

Ila soma Yohana 4:24 utajua Mungu yupo kwenye Umbo gani na Ni nani?

Yohana 4:23-24

,,,,,,," Lakini saa inakuja, nayo sasa ipo, ambayo waabuduo halisi watamwabudu Baba katika roho na kweli. Kwa maana Baba awatafuta watu kama hao wamwabudu.

24 Mungu ni Roho, nao wamwabuduo yeye imewapasa kumwabudu katika roho na kweli......"

Sasa Kama Mungu ni Roho unataka Kusema Kuna roho ya Roho 😅😅..

Ok Ngoja Tuone ulichoandika Pia kuhusu Yohana 1:14

Kuhusu Aya Hiyo..

Yohana 1:14
" ......Naye Neno alifanyika mwili, akakaa kwetu; nasi tukauona utukufu wake, utukufu kama wa Mwana pekee atokaye kwa Baba; amejaa neema na kweli...."

Sijaelewa hasa Ulikuwa Na Maana Gani kuhusu Aya Hii..

Ila nitakusaidia Anaposema Kuwa
..Naye Neno alifanyika Mwili,akakaa kwetu..

Tunaanza na swali Je yesu ilikuwaje mpaka Kuzaliwa...?

Malaika Gabriel alitumwa Akatoe Neno la Kuzaliwa kwake Yesu kwa Mama yake maria nalo neno Hilo alilosema Liliifanyika Mwili ndani ya tumbo la Maria Bila Kulutana na mwanaume maana ni Neno tupu..

Sasa umenielewa still Bado hujaproove Kuhusu Huo Utatu unaosema Umeproviwa na sayansi NASUBIRI JIBU
 
mkuu DR Mambo Jambo, kuheshimu maoni yako wala hakunizuii kuyakosoa.

Mwanzo 1:1-3 na yohana 1:14, vinaeleza jinsi Mungu mmoja alivyojifunua kwetu ktk nafsi zake 3.

Kutajwa kwa roho, ktk andiko hilo, hakumaanishi Mungu mwingine, bali amejidhihirisha ktk nafsi yake nyingine.

Ukisoma yohana 1:1-3, Mungu anajidhihirisha tena ktk nafsi yake nyingine ya neno ambayo baadae ilifanyika mwili ktk yohana 1:14.
 
Inaonekana hujui hata unachokijadili
Mkuu, ulipaswa jibu swali kabla hujauliza.

Nimeuliza, alieisambaza imani ya deities, ktk jamii tofauti duniani, ambazo hazikuwahi fahamiana, wala kuchangamana ni nani?
 
Unasema ulimwengu umeumbwa na atom.

Lakini je, bila space unaweza kuwa na atom?
Mkuu, tangu mwanzo wa mjadala, hakuna pahala nimekanusha uwepo wa space.

Tulifunge hili, turudi upande wa pili, kuhusu uwepo wa Mungu.
 
Mkuu, ulipaswa jibu swali kabla hujauliza.

Nimeuliza, alieisambaza imani ya deities, ktk jamii tofauti duniani, ambazo hazikuwahi fahamiana, wala kuchangamana ni nani?
Hoja yako imejikita kwenye uongo (fallacy)

Logical fallacy of Bandwagon approach (argumentum ad populum)
 
Mkuu, tangu mwanzo wa mjadala, hakuna pahala nimekanusha uwepo wa space.

Tulifunge hili, turudi upande wa pili, kuhusu uwepo wa Mungu.
Kama umekubali uwepo wa space, space imeumbwa na atom?

Unaweza kuwa na atom bila ya kuwa na space?

Mungu unaweza kuthibitisha yupo?
 
mkuu DR Mambo Jambo, kuheshimu maoni yako wala hakunizuii kuyakosoa.

Mwanzo 1:1-3 na yohana 1:14, vinaeleza jinsi Mungu mmoja alivyojifunua kwetu ktk nafsi zake 3.

Kutajwa kwa roho, ktk andiko hilo, hakumaanishi Mungu mwingine, bali amejidhihirisha ktk nafsi yake nyingine.

Ukisoma yohana 1:1-3, Mungu anajidhihirisha tena ktk nafsi yake nyingine ya neno ambayo baadae ilifanyika mwili ktk yohana 1:14.
Mbona Ninachoona Ni weww Kutaja Kuwa Yesu amejidhihirisha Kwenye Nafsi tatu ila Kimaandiko Haisemi hivyo..
Hebu sasa Acha Kuongea Wewe kama wewe Nionyeshe Maandiko yanayo.dhihirisha Usemacho..

Na hakuna amahali.nimeouambia kuhusu Mungu Mwingine..
Nilichokuambia Kinafahamika Na akinaonyesha Vizuri kabisa...

Hebu toka Nje ya Box Ndugu yangu Usinipe Mahubiri ambayo umeambiwa Nionyeshe maandiko yakisema Hivyo na Kingine Nionyeshe Bhasinhata Science ikithibitisha
 
Hawa watu hata hayo maandiko hawajui yanasemaje.

Wanabumbabumba tu.
 
Hawa watu hata hayo maandiko hawajui yanasemaje.

Wanabumbabumba tu.
Na mimi napenda Sana Kudeal nao kwenye maandiko yao wenyewe 😅😅
Sasa mtu anatoa tamkp yeye mwenyewe ukiangalia alichokisema hakiendani na tamko la kitabu chake..
Ila ni maneno yake mwenyewe ndo anayoyasemea..

Mimi Mpaka Leo nasubiri nione Huo udhihirisho wa Sayansi kwenye nafsi tatu za mungu..
Sijui ni theory ipi hiyo na udhihirisho..The First Einstein Trinitarian Theory 😅😅
 
Hawa watu hata hayo maandiko hawajui yanasemaje.

Wanabumbabumba tu.
Huyu Jamaa Nimefurah anapresent Idea ya Uwepo wa Mungu Comedywise

Hawa Wengine wanabishana Race ya Mungu 😅😅😅🤣🤣
 
Sayansi ni njia ya kuelewa na kuchunguza ulimwengu kupitia majaribio, uchambuzi, na utafiti wa kisayansi.

Sayansi inahusiana na maswali kuhusu "jinsi" kitu kinavyotokea.

Imani ya Kidini inahusiana na maswali kuhusu "kwa nini" ulimwengu na maisha yako hivi au vile.

Hivyo, sayansi haina lengo la kuthibitisha au kukanusha uwepo wa Mungu, bali inatoa uelewa wa kimwili wa asili ya vitu.

Ova
 
Sayansi inapima kipi kipo kweli na kipi ni hadithi tupu za uongo tu.

Imani haihitaji kuwa kwenye ukweli.

Kwa maana hii, sayansi inahitaji uthibitisho. Ukisema Mungu yupo, kisayansi utahitajika kutoa uthibitisho.

Kiimani unaruhusiwa kuamini Mungu yupo bila uthibitisho. Kwa sababu hata kama ni uongo, jambo la imani ni haki yako ya kibinadamu unaruhusiwa kuamini unavyotaka kwa faragha yako ya imani.

Hivyo, kwenye imani uongo unaruhusiwa, hakuhitaji uthibitisho.

Kwenye sayansi, uongo hauruhusiwi, mambo yanahitaji uthibitisho.

Hiyo ni tofauti moja kubwa kati ya sayansi na imani.
 
Get more confused by this :

An electron has no internal configuration that we know of and is considered as one of the fundamental particles. Protons and neutrons, on the other hand are made up of smaller fundamental particles called quarks. There are 6 different types or"flavours" of quarks: up, down, charm, strange, bottom and top. Neutrons and protons are made up of only up and down quarks. Unlike neutrons, protons and electrons quarks may have fraction charge.The principle of quantization of charge is still followed because quarks are the only particles which have fractional charges and they always occur in combination. A neutron is made up of 1 up quark(charge = +2/3) and 2 down quarks(charge = -1/3). Similarly, a proton is made up of 2 up and 1 down quark.

Sasa hebu integrate mambo ya Mungu hapo., kama hujaanza kuongea kikwenu.
Acha mbaa mbaa
Njoo huku, ni namba zinapigwa mwanzo mwisho......halafu umekopi huku ki layman sana......
cc Venus Star
 
Back
Top Bottom