Science na ukristo ni kitu kimoja hakuna utofauti, ni uongo mtakatifu kusema kuna tofauti kati ya science na dini

Dennis Robert Shughuru

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2024
Posts
5,559
Reaction score
8,747
Ukitaka uielewe science kiundani sana basi kuwa msomaji wa biblia huyo aliyesema science na dini hasa ya ukristo havina uhusiano alitukosea sana sisi wanadamu ni wa kulaaniwa

Kama dunia inge-embrace hii partnership basi tungekuwa mbali sana tuko nyuma sana kimaendeleo kwenye nyanja nyingi kwa sababu ya nadharia kama hizi za uongo
 
View attachment 3326382
Uthibitisho kwenye hiyo biblia upo wapi???
 
sayansi inasema binadamu alitokana na primates, ukristo unasema katokana na udongo!
Ni kitu kimoja sawa sawa.
 
Back
Top Bottom