Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
- Thread starter
- #21
Uko mbali sana kifikra sio kosa lakokwa hiyo unataka tukariri we hujajiandaa kukabiliana na changamoto hii na kama ni hivo haina maana kutumbia hivo
Uko mbali sana kifikra sio kosa lakokwa hiyo unataka tukariri we hujajiandaa kukabiliana na changamoto hii na kama ni hivo haina maana kutumbia hivo
Ligi na swahiba wako maghayo bado iko on😁Hatimaye Jf tumepata new version ya Deo Kisandu + Maghayo The Mongolian Savage
Kumbusha..Unalingine umesahau
Nikukumbushe vipi nawakati umeamua kudhihakiKumbusha..
Ukiweka uzi tegemea reaction za aina zote ,hivyo kama huto jali Thibitisha ukristo na yasansi vinaendana vipi?Nikukumbushe vipi nawakati umeamua kudhihaki
Wewe umeona kitu ambacho mimi nakiona kuna uzi ntaanda kuhusiana na dunia kabla ya uharibu ilikuwaje kesho nikiweka uzi ntakutagLeo nakuunga mkono 💯,
Some Levels ya science ya kwenye Bible is way more advance for use to comprehend and understand and it goes back to 1st and 2nd human seeding.
facts like the arc of covenant, pyramids, Stargates, portals, electric wars and genetics technologies zimeelezwa is very simple languages like kupaa mbinguni, vita za mbinguni kati ya malaika, uumbaji but it's not the way we understand it completely.
sawa muheshimiwa Rais ajae.Sio kosa lako uko mbali sana kifikra
PamojaWewe umeona kitu ambacho mimi nakiona kuna uzi ntaanda kuhusiana na dunia kabla ya uharibu ilikuwaje kesho nikiweka uzi ntakutag
Ukitaka uielewe science kiundani sana basi kuwa msomaji wa biblia huyo aliyesema science na dini hasa ya ukristo havina uhusiano alitukosea sana sisi wanadamu ni wa kulaaniwa
Kama dunia inge-embrace hii partnership basi tungekuwa mbali sana tuko nyuma sana kimaendeleo kwenye nyanja nyingi kwa sababu ya nadharia kama hizi za uongo
Ahsante kwa kushirikiWahi hospital mwanangu ooh
Huyu jamaa ana tatizo kichwani , na kamwe hawezi gundua kama yupo na tatizo .Kuna mtu alishawah kusema usikute vichaa wanaona watu wengne ni vichaa na wao ndio wako timamu, basi Huu ni mfano halisi.
Jamaa anadiriki kusema kabisa wanaoamini kuna tofauti wamelaaniwa dah😂😂😂
Leo nakuunga mkono 💯,