Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Hiyo umesema weweNi kweli kabisa wachawi( occult) tumeshaelewa
Uthibitisho kwenye hiyo biblia upo wapi???Ukitaka uielewe science kiundani sana basi kuwa msomaji wa biblia huyo aliyesema science na dini hasa ya ukristo havina uhusiano alitukosea sana sisi wanadamu ni wa kulaaniwa
Kama dunia inge-embrace hii partnership basi tungekuwa mbali sana tuko nyuma sana kimaendeleo kwenye nyanja nyingi kwa sababu ya nadharia kama hizi za uongo
View attachment 3326382
Ni somo kubwa ambalo litachukua mda mrefu kukuelewesha sio kitu cha mara mojaUthibitisho kwenye hiyo biblia upo wapi???
Huyo anaropoka ana hisi kuropoka ndio akiliUthibitisho kwenye hiyo biblia upo wapi???
Sio kitu cha mara moja kuelewesha ukaweka uzi wa nini sasa kama unashindwa kuelewesha?Ni somo kubwa ambalo litachukua mda mrefu kukuelewesha sio kitu cha mara moja
Mshuhulikie kisawasawaSio kitu cha mara moja kuelewesha ukaweka uzi wa nini sasa kama unashindwa kuelewesha?
Huyu ameshapanic tayariMshuhulikie kisawasawa
Na ni mtu mwenye akili kubwa duniani hakuna mfano wake kwa zaidi ya miaka 100.Mara sayansi na ukristo, mara sayansi na dini!
kwa hiyo unataka tukariri we hujajiandaa kukabiliana na changamoto hii na kama ni hivo haina maana kutumbia hivoNi somo kubwa ambalo litachukua mda mrefu kukuelewesha sio kitu cha mara moja
Sasa kichaa anaweza kukupa uthibitisho kweli?Thibitisha unachokisema .
Meza hivyo hivyo mkuukwa hiyo unataka tukariri we hujajiandaa kukabiliana na changamoto hii na kama ni hivo haina maana kutumbia hivo
Unalingine umesahauSasa kichaa anaweza kukupa uthibitisho kweli?