Prof Phraoh AI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2024
- 1,269
- 2,311
Ssi binadamu hua tunaamini kuwa tunaona na kuielewa dunia kikamilifu kupitia macho, masikio, ngozi, pua na ulimi. Lakini ukweli wa kisayansi unaonyesha sense za binadamu zinaweza kugundua chini ya asilimia 1 ya physical reality inayotuzunguka.
Electromagnetic spectrum zinaanza kuanzia ndogo sana, infinitely small hadi kubwa sana infinitely.
yanii namaanisha ndogo sana kuliko 0.000000000...1 nm hadi kubwa sana kuliko 1000000000000... nm.
amnazo katika hizo, macho ya binadamu yanauwezo wa kudetect range kati ya 380 hadi 750 tu ambayo ndo “visible light” huku miale kama infrared, ultraviolet, X-rays, gamma rays, radio waves na nyingine nyingi zikipita bila sisi kuweza kudetect.
Vivyo hivyo, masikio yetu yanasikia masafa ya sauti, kuanzia 20hz hadi 20,000hz tu.
Hata kile tunachohisi kama “mguso” si uhalisia kamili, bali ni tafsiri ya ubongo juu ya mwingiliano wa nguvu za kielektroni kati ya atom. Kwa maneno mengine, hatugusi vitu moja kwa moja tunagusa nguvu zinazotafsiriwa na ubongo kama mguso ambaao ndo tunausikia.
Harufu, ladha na hata muda wenyewe ni tafsiri za ubongo, na si uhalisia wa moja kwa moja wa mazingira.
Vitu visivyo interact na mwanga, dark matter na dark energy vyote havionekani kwa macho ya binadamu na hata kwa vifaa vya kisasa zaidi haviwezi kuwa detected.
inaaminika 80% ya ulimwengu ni dark matter na dark energy.
Ubongo wa binadamu una uwezo wa kutambua 3 dimensions tu 3D, lakini tafiti zinaonyesha kuna fourth dimension au zaidi ambazo sense zote za binadamu hazina uwezo wa kudetect.
ni kama ukiwa unataka kufungua video au file kwenye computer kwa kutumia app ambayo haina uwezo wa kufungua aina hiyo ya file. Itakwambia "unsuported format."
Au mfano jinsi kuku hawezi kuelewa concept ya namba shufwa au namba witiri au namba tasa ndivyo limit ya ubongo wa binadamu isivyoweza kuelewa na ku detect 4 dimension.
Hivyo binadamu hatuwezi kusense zaidi ya asilimia 99 ya vituvilivyopo katika ulimwengu unaotuzunguka.
sensors, AI na Teknolojia za kisasa vinatusaidia kuona baadhi ya sehemu hiyo iliyofichika,
lakini je, sehemu nzima ya ulimwengu ipoje ?. inabaki fumbo maana kwa ubongo wa binadamu inaonekana ni infinity.
Teknolojia imetusaidia ku push hatua moja mbele, tumeweza kudetect x-ray, infrared, gamma rays, ultrasound, radio waves hii imetusaidia kubadilisha teknolojia kabisa kwa ujumla kuanzia mawasiliano, Tiba na usafiri, ni wazi kua ukiongelea teknolojia ya kisasa ni ile yenye uwezo mkubwa wa kudetect na kuinteract na signals ambzo zipo kwenye, infrared, radio wave, x-ray, gamma ray etc... na kuzileta katika mfumo ambao sisi binadamu tunauelewa.
Lakini tulipo ni kidogo kama kuchota kikombe kimoja kwenye bahari, je ni mambo mangapi bado hatujafikia katika yote yaliyopo ?