Wick
JF-Expert Member
- Dec 19, 2012
- 8,313
- 12,170
Hivi ana matatizo Dr. Beter?.Kuna moja sasa hivi inaitwa The Battle of Harvest Moon. Waosvieti walilipua satelaiti zote za Marekani wakatuma balozi aende White House kutoa Ultimatum. Hahahaha David Beter ukimsikiliza unaweza ukaugua kichaaa.
😀😱😱😱
Profile yake inaonyesha kashawahi kuwa chini ya Clinton Adminstration kama sikosei lakini mbona anaongea vitu vya ajabu!.