SCIENTIFIC RESEARCH PAPER: Super Energy Weapons Triggering Earthquakes, Volcanoes and Other Earth Movements

Nimetaja media wapi mkuu,labda hukuelewa au nimekosea tu,media haihusiki,organizations nilizozitaja ndizo zinazo husika.
Nilisoma vibaya.

Lakini mkuu huo utafiti wa jamaa una walakini kwenye baadhi ya arguments:

1. Asema kwamba alipotaka kupata taarifa zaidi za siri kuhusu namna kwamba Volcanoes zasababishwa na superwepons hakupewa ushirikiano hivyo akasitisha utafiti wake: ukarasa wa 656.

2. Asema kwamba landslides au maporomoko ya ardhi pia huweza kusababishwa na hizo superweapons. Lakini anasahau katika natural disasters nyingi maporomoko hayo husababishwa na mvua kubwa na hata tetemeko la ardhi.

3. Utafiti wake pia umetegemea sana Youtube badala la matukio halisi kupitia vituo vya hali ya hewa na kadhalika.

Hiyo weye waonaje?

Maana huwezi kufikia conclusion ya utafiti kama kuna mahala umekwamishwa khasa katika primary research, maana hii ndo huwa msingi wa utafiti mzima.
 
Hili jamaa ni zwazwa sana covid mmarekani , war on Ukraine mmarekani , earthquake Marekani , kuna watu ni wapumbavu sana hivyo vichwa ni bora Mungu angevitengszea kama vibuyu vya kuhifadhia maziwa
Mimi nimekupa ushahidi mkuu wa kisayansi kabisa kwamba these things are now made,na wewe nipe wa kwako convincing kwamba Wanadamu hawahusiki,usibwabwaje tu.Kwa kuwa akili yako ndogo ya Panzi inakuambia haiwezekani you believe haiwezekani!!!!Sayansi ime-advance sana mkuu,kwa sasa wewe ni kama upo stone age.

Na kwa nini mnawatetea sana Wamarekani,taifa ovu kabisa.Kwanza hata European Union walishawaita kuwahoji kuhusu HAARP kuhusishwa na Weather Modification na kutengeneza vitu kama Earthquakes nk.,sasa wewe unawatetea kwa misingi ipi,unatetea uovu,acha uzuzu mkuu.
 
Mkuu asante kwa maswali yako.Taarifa Hii nimeileta kama sample tu ya swala zima la Geo-engineering,there is a lot of information out there kuhusu USA ku-geoengineer Earthquakes,volcanos,hurricanes nk..

Tatizo letu ni kwamba sisi sio wasomaji,so knowledge yetu ni ndogo sana,hasa kwa yale mambo ambayo hatukufundishwa vyuoni.Niseme hivi, Geo-engineering haifundishwi kabisa kwenye vyuo vyetu vikuu,kwa hiyo wengi hatuijui.

Naomba niseme hivi,matukio ya increased Volcanic Activity,Earfhquakes,Hurricanes,Massive Landslides,Massive Floods,Tsunamis kama ile ya Indonesia 2014,Massive snowfalls kama ile ya Kuwait where snow is unknown,Heat waves kama ya Ulaya mwaka uliopita ambayo haijawahi kushuhudiwa nk.yote ni a result of Geo-engineering.

Naomba niwaelimishe,kwa sababu wewe kitu hukijui,usidhani kwamba hakipo,kuwa tayari kujifunza.There is so much you do not know out there,hasa kizazi kipya,you are simply empty in your heads.
 
Hizi program ni kweli zilikuwepo siku nyingi. Hiyo mitambo ya program ya HARPA ipo kule Alaska ambako wanapakana na Russia.

Ukweli ni kuwa Russia anajua yote hayo siku nyingi na yeye alikuwa na program zake za ku counter. Ndie aliyekuwa akitoa Siri mf juu ya majanga ya ukame na mafuriko kwenye baadhi ya maeneo sio yote but baadhi ni kweli yalikuwa man made. Wanakituo cha kikubwa kimejengwa huko Russia nimesahau jina lengo ni ku monitor na kudhibiti hizo hujuma.

Kwamba ishu ya Uturuki ni man made hilo mimi sijui ila nilitaka kutoa ufafanuzi juu ya why not Against Russia.. jibu ni kuwa they know well each other.. akifanya Russia atajibu mapigo tuu au kuharibu settellite, rada na vituo vinavyohusika maana wanavijua. Hizi nchi mbili technology yao ipo juu mno mno kuliko watu wanavyoweza kudhani ila wanajuana vyema.

Russia ile ya Usoviet na USA walikuwa na program nyingi za Siri za maangamizi zaidi ya binadamu wa kawaida anavyoweza kudhani. Na bado wamezihifadhi Incase of anything. Ingawa USA ndio abuser mkubwa lakini hawezi kumfanyia huo ujinga Russia because they know well each other.
 
Whether this is a conspiracy or not,
Kama ambavyo watoto wadogo walivyo busy wanacheza tu,
wao ni kula, kucheza, kwenda shule, kulala, ku demand vitu,

Lakini hawajui hili wala lile,
hawajui bills,
hawajui uovu mwingi uliopo duniani (mauaji, usaliti, wizi n.k),
hawajui mapenzi,
hawajui wamekuja duniani kufanya nini, n.k

Yani wako gizani,

Ndivyo ambavyo naamini watu wengi tuko gizani,
tunaendelea tu na maisha kila siku lakini kuna watu Wana bigger picture,
wanauona ulimwengu zaidi ya tuunavyo,
sisi ni kama watoto tu hatujui hili wala lile,

Tunapelekeshwa tu na kufuata maagizo ya wanaojua zaidi kuhusu huu ulimwengu na maisha kiujumla,


kuanzia tunayoona kwa macho hadi tusiyoyaona kwa macho
 
Kwanza niombe radhi kwa sentensi yako ya mwisho ambayo yaharibu hali ya hewa matumizi ya lugha chafu wakati weye ni msomi yaondoa sifa hiyo kwako.

Tupo hapa kuelimishana.

Suali langu ni rahisi tu ikiwa Uturuki ipo kwenye "faultline" na pia ipo ndani ya sahani ya Anatolia yaani East Anatolia Fault Zone hiyo superweapon imefikaje hapo?

Pia upande wa magharibi ipo West Anatolia Fault Zone ambayo tremor yake imefika Greenland barani Ulaya.

Sasa waambiwa sahani hii ya WAFZ imekinzana na sahani ingine au Arabian Plate na kuweka pressure kwenye faultzone kisha kupelekea kutokea kwa tetemeko.

Sasa hii geoengineering kama ulikuwa hufahamu ni jina jingine la "Climate Engineering" na si geotechnical engineering kama ambayo imeletwa na mtafiti.

Hivi ni vitu viwili tofauti.

Makusudio ya geoengineering ni kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi yaani climate change na njia watumiazo wanasayansi ni kudhibiti mionzi mikali na pia kukamata hewa chafu kama ile ya bimass na kuihifadhi kwenye madumu chini ya ardhi.

Geoengineering pia huhusisha upandaji miti yaani reforestation kama njia ya kukabiliana na deforestation lakini kwa kutumia njia za kisayansi zaidi.

Sidhani kama utafiti ulouleta wahusiana na geoengineering yaani uhandisijiolojia.
 
Marekani Elites wapo mbali kiasi wanaweza angamiza Taifa zima kw sec.
 
Intelligencies wa mchongo wengi humu😤😤....
 
Imekuja kwa sababu zifuatazo:
1.Uturuki haijawahi kupata tukio kubwa la seismic activity kama hili,pamoja na kwamba ipo kwenye fault line.
2.Marekani wana utaalamu huo.
3.Marekani wameshawahu kutumia geo-engineering na Entomological technologies kama silaha ya vita dhidi ya mataifa mbali mbali,dhidi yake yenyewe,China na hata Ulaya.
4.Marekani wana ugomvi na Uturuki.

Huu ndio udanganyifu unaoendelea.And where did you get this,from them!!!!Pole.Utamuaminije mchawi anayekuloga?
Makusudio ya geoengineering ni kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi yaani climate change

Nakubali kwamba "they" define Geo-engineering as Geoengineering refers to "a set of emerging technologies that could manipulate the environment and partially offset some of the impacts of climate change."

Sasa be sensible,how do they offset impacts of climate,positively or negatively,hawajasema? Na kama unadhani ni positive,do you really believe that they love you so much?Who are you to them after all mpaka wakupende?Remember this statement,"Mzungu haijawahi kuacha mtu salama."

Nikufahamishe Jambo moja,hiyo definition ya Geo-engineering is very narrow,the right definition is this,
Geo-engineering is a scientific activity that uses
a set of technologies that could manipulate the natural system and offset it's natural order.

Definition uliotoa wewe,ambayo ndio ya the establishment inalenga kuficha ukweli wa uovu wanao endelea kukufanya dhidi ya ubinadamu.

Soma row ifuatayo ambayo Ni very recent,only three days before the earthquake.


UNPRECEDENTED! Turkish Interior Minister Suleyman Soylu slams the US, UK and EU just 3 days before the devastating 'artificially triggered earthquakes.'


Posted on February 7, 2023

US should get ‘filthy hands’ off Türkiye – Minister.​

Interior Minister Suleyman Soylu accused Washington of working to hurt his country amid a consulate closure row


FILE PHOTO. Suleyman Soylu. © Adem ALTAN / AFP​

Turkish Interior Minister Suleyman Soylu accused US ambassador Jeffry Flake of trying to “confuse” people in the host nation and told him to get his “filthy hands” off the country. He has previously claimed that Western nations were waging “psychological warfare” to undermine tourism in Türkiye.
“I’m telling you very clearly, get your "filthy hands" off Türkiye. I know clearly what you have done, what steps you have taken, and how you want to confuse Türkiye,” the minister said in a speech on Friday.

Soylu claimed the first questions “every US ambassador” arriving in Türkiye was asked were “How can I stage a coup” and “How can I harm Türkiye.” The minister also stated that European nations were “run” by American diplomats.
The remarks came a day after the US and several EU nations decided to temporarily shut down their consulates in Istanbul due to “security considerations.” The foreign governments also advised their citizens to avoid tourist hotspots in Türkiye, citing a terrorist threat.Could it be however due to this devastating Earthquake?

Turkish Foreign Minister Mevlut Cavusoglu said the nations involved failed to convey to Ankara any evidence that would justify the shutdowns.
“They tell us, ‘We have concrete information, there’s a threat. That’s why we’re closing’. Who did it come from? Where? Who will do it? There’s no information about that,” Cavusoglu said on Thursday.
The top diplomat described the move as “deliberate” and possibly designed to put the incumbent government into a “difficult situation” before the upcoming general elections.
Soylu added that Western governments actually reacted with “psychological warfare” to Turkish plans to boost tourism in the country.
The Friday event in Antalya, during which the interior minister blasted the US ambassador, was dedicated to migration issues.
In his speech, Soylu accused Western nations of aggravating the problem that Ankara faces due to mass migration. In particular, he expressed concern with instability in the neighboring nations of Iraq and Syria, where “state authority has completely disappeared,” according to the minister.The Interior
___
US should get ‘filthy hands’ off Türkiye – minister
 
una ushahidi gani kwamba huu ni uongo?You are obviously the sleeping masses or doubting Thomases ambao bado wanadhani the the so called natural disasters are natural,wake up, we have way passed that era.
Kwa sababu matetemeko yamekuwepo kabla ya sayansi ya mwanadamu kuzaliwa
 
Kwa sababu matetemeko yamekuwepo kabla ya sayansi ya mwanadamu kuzaliwa
Yalikuwepo yes, ila sasa Sayansi ipo ya kuyatengeneza as a military weapon.Kwa maana nyingine disasters are now weaponized.
 
brother labda utuambie hyo human enslavement ina faida gani kwao hadi wapambane kiasi hicho kuna ajenda gani ukiacha kucontrol utajiri wa duaniani infact they are already rich
 
brother labda utuambie hyo human enslavement ina faida gani kwao hadi wapambane kiasi hicho kuna ajenda gani ukiacha kucontrol utajiri wa duaniani infact they are already rich
Dah,someni jamani someni,mbona mpo watupu sanaa?Mme ng'ang'ani Yanga Vs. Simba,Manchester United Vs.Arsenal nk.hayo mambo ni hewa, hayawasaidii lolote.You people need to change your mindset.

Anyway,this is a more than a thousand year old desire of the NWO, to control humanity and the World.

Labda nikuulize swali dogo.Hivi kwa nini watu wanatamani saana kwa nguvu zote kuwa Presidents,Prime Ministers or even Kings of countries?Ukipata jibu la swali hilo basi ndilo jibu la swali lako,but on a larger scale:World.Binadamu ana inherent behaviour ya kupenda ku-dominate na kutawala wengine.
 
Nitakuwa wa mwisho kuamini propaganda za kipuuzi kama hizi. Kuna cospirancy theory nyingi ni upuuzi wa kiwango cha standard gauge. Mue mnafikirisha basi na bongo zenu. Sii kila kitu mnataka kuamini amini tu. Huu nao ni upuuzi kama upuuzi mwingine.
 
Nitakuwa wa mwisho kuamini propaganda za kipuuzi kama hizi. Kuna cospirancy theory nyingi ni upuuzi wa kiwango cha standard gauge. Mue mnafikirisha basi na bongo zenu. Sii kila kitu mnataka kuamini amini tu. Huu nao ni upuuzi kama upuuzi mwingine.
This is pure science wala hakuna propaganda hapa.It seems umechukua "Hakuna Kusoma Kufaulu Lazima(HKL)." Pole,ila sikulaumu sana,hata Science University hukutani na Geo-engineering popote.Jamaa wametuficha sana fani hii,ili tusijue upuuzi wanaotufanyia.

Lakinii,hebu twende pole pole mkuu,uliaminije kwamba deforestation and industrialization vinaharibu mazingira na wewe realistically huna proof yeyote to you it's mere "hearsay?" Labda tuanzie hapo.
 
Nakubali kwamba "they" define Geo-engineering as Geoengineering refers to "a set of emerging technologies that could manipulate the environment and partially offset some of the impacts of climate change."
Nimetanabaisha na kutofautisha sayansi hizi mbili na hiyo iko wazi.

Geotechnical engineering and Geoengineering are two different subjects.

Geotechnical engineering is the science which deals with soils, rocks and earth and how they interact with human activity.

Geoengineering or climate engineering is the science which use scientific methods to curb climate change.

The author of the research which you are using to make your point is from the department of geotechnical engineering university of Ottawa.

In your second point regarding the diplomatic rows and squabbles between Turkey and western countries this is ongoing but to say is something to do with earthquake is just your assumptions.

Turkey was expecting the earthquake to occur but not in this magnitude is as simple as that.

If you tell me that the enemies of Turkey want to use this disaster as a coy posture to obscure their intended internal political situation (which is to destabilise) I would certainly agree.

You have to remember Turkey are preparing for general election this year.
 
impressive analysis.
 
I am talking about Geo-engineering mkuu sio Geo-technical engineering,hii fani sijaigusia popote,sijui kwa nini umeigusia hapa. Najua kwamba Geotechnical engineering ni fani tofauti kabisa na Geo-engineering. Geotechnical engineering is the branch of civil engineering concerned with the engineering behavior of earth materials. It uses the principles of soil mechanics and rock mechanics for the solution of its respective engineering problems. It also relies on knowledge of geology, hydrology, geophysics, and other related sciences. Geotechnical (rock) engineering is a subdiscipline of geological engineering.

Nilichosema ni kwamba definition ya Geo-engineering unayo ijua wewe is distorted kuficha ukweli,definition niliyokupa ndio sahihi.

Nadhani nimalizie kwa kuku-inform kama hujui kwamba hata European Union Parliament waliwaita Marekani wajieleze kwa kuwa wanasema wana ushahidi wa kutosha kwamba HAARP ambayo ni facility ya DARPA(
Defense Advanced Research Projects Agency) ambayo
ipo Gakona Alaska inahusika na Geo-engineering wakakataa.DARPA ni Agency ya The American Department of Defence.

Sasa mkuu sikuelewi unapowatetea,by the way who are you to defend them?
Inaelekea una mahusiano na US yasiyo sahihi mkuu,I am sorry to say.
 
keep asking till he realise he knows nothing..dominance ndo chanzo ya chaos
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…