TimeOut
JF-Expert Member
- Sep 20, 2022
- 3,894
- 8,454
They have to plant equipment 1st!Swali.
Kwanini wasipeleke matetemeko huko Urusi na China wanaompa Erdoğan kiburi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
They have to plant equipment 1st!Swali.
Kwanini wasipeleke matetemeko huko Urusi na China wanaompa Erdoğan kiburi?
Nilisoma vibaya.Nimetaja media wapi mkuu,labda hukuelewa au nimekosea tu,media haihusiki,organizations nilizozitaja ndizo zinazo husika.
Mimi nimekupa ushahidi mkuu wa kisayansi kabisa kwamba these things are now made,na wewe nipe wa kwako convincing kwamba Wanadamu hawahusiki,usibwabwaje tu.Kwa kuwa akili yako ndogo ya Panzi inakuambia haiwezekani you believe haiwezekani!!!!Sayansi ime-advance sana mkuu,kwa sasa wewe ni kama upo stone age.Hili jamaa ni zwazwa sana covid mmarekani , war on Ukraine mmarekani , earthquake Marekani , kuna watu ni wapumbavu sana hivyo vichwa ni bora Mungu angevitengszea kama vibuyu vya kuhifadhia maziwa
Mkuu asante kwa maswali yako.Taarifa Hii nimeileta kama sample tu ya swala zima la Geo-engineering,there is a lot of information out there kuhusu USA ku-geoengineer Earthquakes,volcanos,hurricanes nk..Nilisoma vibaya.
Lakini mkuu huo utafiti wa jamaa una walakini kwenye baadhi ya arguments:
1. Asema kwamba alipotaka kupata taarifa zaidi za siri kuhusu namna kwamba Volcanoes zasababishwa na superwepons hakupewa ushirikiano hivyo akasitisha utafiti wake: ukarasa wa 656.
2. Asema kwamba landslides au maporomoko ya ardhi pia huweza kusababishwa na hizo superweapons. Lakini anasahau katika natural disasters nyingi maporomoko hayo husababishwa na mvua kubwa na hata tetemeko la ardhi.
3. Utafiti wake pia umetegemea sana Youtube badala la matukio halisi kupitia vituo vya hali ya hewa na kadhalika.
Hiyo weye waonaje?
Maana huwezi kufikia conclusion ya utafiti kama kuna mahala umekwamishwa khasa katika primary research, maana hii ndo huwa msingi wa utafiti mzima.
Hizi program ni kweli zilikuwepo siku nyingi. Hiyo mitambo ya program ya HARPA ipo kule Alaska ambako wanapakana na Russia.Duh!
Kama nikweli ningetegemea hawa magaidi wa dunia wangetekeleza ugaidi wao huko Urusi, China au Iran kwa kuwa hawa mabwana watatu ndio wamekuwa kikwazo kikubwa kwenye mission za hawa NATO.
Sikatai kwamba tecnolojia ya kutokeza majanga kama matetemeko haipo, ila hawa NATO wangekuwa nayo lazima wangeijaribu kwenye miji ya Beijing, Hong Kong, Shanghai, Moscow, st Petersburg, Tehran, Pyongyang, Minsk, Brasilia na miji mingine ambayo wanaiona kama miji ya maadui zao.
Kwanini iwe Uturuki ambayo ni mwanachama wao wa Nato? Je, hawaoni watasababisha maadui zao nao watake kulipa visasi kwa kupeleka majanga makubwa kwenye miji kama London, Washington, Paris, Berlin, Tokyo, nk?
Ufafanuzi kidogo mleta mada
Kwanza niombe radhi kwa sentensi yako ya mwisho ambayo yaharibu hali ya hewa matumizi ya lugha chafu wakati weye ni msomi yaondoa sifa hiyo kwako.Mkuu asante kwa maswali yako.Taarifa Hii nimeileta kama sample tu ya swala zima la Geo-engineering.Tatizo letu ni kwamba sisi sio wasomaji,so knowledge yetu ni ndogo sana,hasa kwa yale mambo ambayo hatujufundishwa vyuoni.Niseme hivi Geo-engineering haifundishwi kabisa kwenye vyuo vyetu vikuu,kwa hiyo wengi hatuijui.
Naomba niseme hivi,matukio ya increased Volcanic Activity,Earfhquakes,Hurricanes,Massive Landslides,Massive Floods,Tsunamis kama ile ya Indonesia 2014,Massive snowfalls kama ile ya Kuwait where snow is unknown,Heat waves kama ya Ulaya mwaka uliopita ambayo haijawahi kushuhudiwa nk.yote ni a result of Geo-engineering.
Naomba niwaelimishe,kwa sababu wewe kitu hukijui,usidhani kwamba hakipo,kuwa tayari kujifunza.There is so much you do not know out there,hasa kizazi kipya,you are simply empty in your heads.
Marekani Elites wapo mbali kiasi wanaweza angamiza Taifa zima kw sec.Preamble:
I thought it important to bring this paper to the attention of the doubting Thomases and sleeping masses.Most people still believe that what we used to call natural disasters are "still natural," not at all,NWO Cabal scientists have now at their disposal
Super Energy weapons for triggering Earthquakes, Volcanoes, other Earth movements,floods,hurricanes,droughts and even out of the ordinary snowfalls.
To me there is no doubt at all that the Turkiye earthquake is man made.
The unusually widespread and extraordinary degree of destruction brought about by these Earthquakes serve as the first major clue proving that this was yet another barbaric act of Zio-Anglo-American geoterrorism.
But why? There are actually many reasons why the Axis of Evil is hellbent on bringing Turkey to its' knees.
• Turkey has refused to permit Sweden (and Finland) into NATO pending the outcome of the “harboring terrorists” issue
• Turkey has been working closely with Russia, Syria and Iran to permanently resolve the Syrian conflict
• Turkey has been collaborating with Russia all along to help negotiate a peace treaty with Ukraine
• Turkey’s territory has become Russia’s Plan B where it concerns natural gas pipelines that were once operative in Ukraine, as well as presenting an alternative to the destroyed Nord Stream pipelines
• Turkey has made major purchases of armaments from Russia including the S-400 air defense system against the strict demands of the United States
• Turkey has been in an intensifying cold war with fellow NATO member Greece which is viewed as highly disruptive to the central mission of the North Atlantic Terrorist Organization
• Turkey has also recently attacked the Syrian Kurds who are considered the U.S. partner in the fake fight against ISIS (Israeli Secret Intelligence Service)
These are just a few of the reasons why the Axis of Evil is quite unhappy with Turkey. There are, in fact, several other motives for this cataclysmic geoterrorist attack which are well beyond the scope of this brief report.But these few reasons should be able to prove that the Zio-Anglo-American Axis of evil is responsible for the Mega Turkiye-Syria earthquake.
Read the scientific paper below to see it all.
Posted on October 1, 2022
SCIENTIFIC RESEARCH PAPER: Super Energy Weapons Triggering Earthquakes, Volcanoes and Other Earth Movements
Super Weapons (Energy Weapons) for
Inducing Earthquakes, Landslides,
Sinkholes, Snow Avalanche, and
Erupting Volcanoes
Sheshpari Paper Direct Energy Weapons Inducing Earthquakes.
Morteza Sheshpari
Faculty of Engineering, Dept. of Geotechnical Engineering , University of
Ottawa, ON, Canada
___
http://themillenniumreport.com/wp-c...rect-Energy-Weapons-Inducing-Earthquakes..pdf
_____
https://www.semanticscholar.org/paper/Super-Weapons-(Energy-Weapons)-for-Inducing-Snow-
Imekuja kwa sababu zifuatazo:Kwanza niombe radhi kwa sentensi yako ya mwisho ambayo yaharibu hali ya hewa matumizi ya lugha chafu wakati weye ni msomi yaondoa sifa hiyo kwako.
Tupo hapa kuelimishana.
Suali langu ni rahisi tu ikiwa Uturuki ipo kwenye "faultline" na pia ipo ndani ya sahani ya Anatolia yaani East Anatolia Fault Zone hiyo superweapon imefikaje hapo?
Pia upande wa magharibi ipo West Anatolia Fault Zone ambayo tremor yake imefika Greenland barani Ulaya.
Sasa waambiwa sahani hii ya WAFZ imekinzana na sahani ingine au Arabian Plate na kuweka pressure kwenye faultzone kisha kupelekea kutokea kwa tetemeko.
Sasa hii geoengineering kama ulikuwa hufahamu ni jina jingine la "Climate Engineering".
Makusudio ya geoengineering ni kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi yaani climate change na njia watumiazo wanasayansi ni kudhibiti mionzi mikali na pia kukamata hewa chafu kama ile ya bimass na kuihifadhi kwenye madumu chini ya ardhi.
Geoengineering pia huhusisha upandaji miti yaani reforestation kama njia ya kukabiliana na deforestation lakini kwa kutumia njia za kisayansi zaidi.
Sidhani kama utafiti ulouleta wahusiana na geoengineering yaani uhandisijiolojia.
Makusudio ya geoengineering ni kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi yaani climate change
Kwa sababu matetemeko yamekuwepo kabla ya sayansi ya mwanadamu kuzaliwauna ushahidi gani kwamba huu ni uongo?You are obviously the sleeping masses or doubting Thomases ambao bado wanadhani the the so called natural disasters are natural,wake up, we have way passed that era.
Dah,someni jamani someni,mbona mpo watupu sanaa?Mme ng'ang'ani Yanga Vs. Simba,Manchester United Vs.Arsenal nk.hayo mambo ni hewa, hayawasaidii lolote.You people need to change your mindset.brother labda utuambie hyo human enslavement ina faida gani kwao hadi wapambane kiasi hicho kuna ajenda gani ukiacha kucontrol utajiri wa duaniani infact they are already rich
This is pure science wala hakuna propaganda hapa.It seems umechukua "Hakuna Kusoma Kufaulu Lazima(HKL)." Pole,ila sikulaumu sana,hata Science University hukutani na Geo-engineering popote.Jamaa wametuficha sana fani hii,ili tusijue upuuzi wanaotufanyia.Nitakuwa wa mwisho kuamini propaganda za kipuuzi kama hizi. Kuna cospirancy theory nyingi ni upuuzi wa kiwango cha standard gauge. Mue mnafikirisha basi na bongo zenu. Sii kila kitu mnataka kuamini amini tu. Huu nao ni upuuzi kama upuuzi mwingine.
Nimetanabaisha na kutofautisha sayansi hizi mbili na hiyo iko wazi.Nakubali kwamba "they" define Geo-engineering as Geoengineering refers to "a set of emerging technologies that could manipulate the environment and partially offset some of the impacts of climate change."
impressive analysis.Nilianza kusikia kuhusu HAARP tangu nasoma shule na niliifuatilia sana kwasababu lilikuwa linafurahisha. Katika usomaji wangu wa historia nilichojifunza ni kutokubaliana na kila taarifa kwa haraka, lakini pia kutokuipuuzia. Kutokufahamu kitu wewe hakuondoi ukweli wala uhalisia wa uwepo wa hicho kitu, nadhani hapa wanadamu wengi ndiyo tunakwama. Tuhuma HAARP, CERN na DARPA naziangalia kwa jicho la umakini, lakini siwezi kuzipuuza hata kidogo.
Dunia imekuwa na vipindi tofauti, na kuna baadhi ya mambo ya kale mpaka leo hii wanadamu na akili yao wameshindwa kabisa kuyaelezea vizuri. Mambo yaliyofanywa na binadamu miaka zaidi ya 4000 iliyopita. Mfano, mapiramidi ya Misri mpaka leo hii yameacha kitendawili kikubwa kwa wanadamu hata wale ambao wamesoma kuliko sisi. Wengine wanasema ni makaburi ya mafarao, lakini siku za karibuni imekuja nadharia nyingine inasema mapiramidi ni vinu vya nishati (Power-Plants) na wanatoa ushahidi kabisa.
Inasemekana, Waparthi/Waajemi (Parthians) walikuwa na teknolojia ya kukamata radi (Lightining) kwenye chupa maalumu miaka mingi iliyopita. Hili lilionekana ni ulaghai na ngano za kusadikika, lakini miaka ya hivi karibuni wanasayansi wameweza kutengeneza radi ndogo kwenye chupa. Hivyo ile nadharia kwamba radi inaweza kukamatwa inaonekana ina ukweli kidogo. Japo bado tunahitaji ushahidi mkubwa.
Eneo la dunia la Mesapotamia ya kale kule Iraq wanahistoria na wanasayansi walichimba chini na kukuta eneo hili limejaa (Carbon Isotopes) ambayo ilikutwa hata kwenye mafuvu ya watu. Hili lilionesha kwamba lile eneo liliwahi shambuliwa na mionzi. Wakachimba zaidi na kutambua kwamba kitu chenye mlipuko kama ule wa nishati ya atomic kiliwahi kulipuliwa pale miaka 5000 iliyopita. Sasa sisi tumeanza kujifunza kuhusu nishati ya atomiki na kutengeneza makombora mnamo karne ya 20. Wanahistoria wanatuambia kwamba sisi siyo wa kwanza kufanya hivyo. Hili linafikirisha.
Kuna jamii za kiafrika kama The Dogon Tribe kule Mali, wamekutwa wanamiliki ramani ya anga la nje (Outer Space) ambapo kuna sayari nyingi ambazo haziko hata kwenye mfumo wetu na wanasayansi hawasadiki zitakuwepo. Miaka zaidi ya 2000 iliyopita watu wa Afrika walikuwa na ramani ya sayari zote zinazolizunguka jua (Solar System). Walifahamuje hayo yote bila kuwa na teknolojia ya kisasa ??? Binafsi hata mimi sina majibu. Mwaka 1970 wanasayansi wa NASA kwa mara ya kwanza wanaifahamu sayari ya SIRIUS X, waliiona kwenye michoro ya Dogons wa Mali, lakini wakapinga.
Miaka michache baadaye wakaigundua ile sayari na kutambua kwamba michoro ya Dogon ilisema ukweli kuliko Hadubini zao kubwa (Giant Telescopes). Wameifahamu SIRIUS X, lakini sayari nyingine kwenye mchoro bado hawajaziona. Ukimwambia mtu mwenye akili ya kawaida, haya mambo hawezi kukubaliana nayo, lakini ni ukweli ambao upo na hata wanasayansi wameshindwa kuuelezea.
Namalizia hoja yangu na NIKOLAI TESLA, ambaye ni uthibitisho tosha kwamba INTELLIGENCE IS ALL ABOUT IMAGINATION AND NOT KNOWLEDGE. Kuna mambo aliyafanya huyu bwana mpaka leo hii wanasayansi wanafikiria tu kuyafanya, huku wajinga na wapumbavu wengine tulioenda shule na kupata shahada zao za sayansi na tafiti tukidhani kwamba ni mambo yasiyowezekana. Tesla aliifahamu IONOSPHERE na nguvu ya mapinduzi ambayo ingeletwa kwa mwanadamu. Akaenda mbali kabisa na kutengeneza gari ambayo betri yake inajichaji yenyewe. Akapeleka pendekezo kwa mabeberu ya Marekani kwamba wafanye hivyo lakini akapigwa chini. Akili ya TESLA ilikuwa iko miaka 3000 mbele.
NB 1: Mwaka 1907, Balozi wa Uingereza nchin Ujerumani, EYRE CROWE, aliandaa muhtasari wake wa kijasusi (THE CROWE MEMORANDUM) kwa serikali ya Uingereza kwamba Ujerumani ananunua chuma kingi mno na anatanua jeshi lake la maji. Wengi walipuuza kwasababu hawakuziona hizo meli zikiwa sehemu yoyote ile na bahati mbaya sana mwenye teknolojia kubwa ya majini (Maritime Technology) na meli za kisasa alikuwa ni Muingereza. Kumbe Ujerumani alikuwa hatengenezi meli zinazoelea majini, yeye amekuja na kitu kipya kabisa, NYAMBIZI (Submarine/U-Boats), silaha ambazo hakuna nchi iliyowahi kufikiria kuzitumia jeshini kwa kiwango kile cha Ujerumani.
Vita ya dunia ilipoanza, ndipo Uingereza walitia akili kwamba kumbe kupigana kutokea chini ya maji inawezekana. Hivyo binafsi siwezi kupuuza chochote kwasababu tu akili yangu inaniambia hakiwezekani au sijawahi kukiona.
NB 2: VITA VYA UKRAINE, ndiyo mara ya mwisho kabisa mataifa makubwa yatatumia teknolojia na mbinu za kivita kutokea karne ya 20. Katika lugha ya kiingereza, nasema hivi: It's a last time major powers will ever use means and methods of warfare from the 20th Century. Mapokeo ya kijeshi (Military Doctrines) ya karne ya 20, yaliangalia vita katika maeneo matatu makubwa ya, VITA VYA ANGA, VITA VYA ARDHINI na VITA VYA MAJINI.
Leo hii kuna mapokeo mapya kabisa kwenye sayansi ya jeshi kwasababu dunia imebadilika mno na uwanja wa vita hauko tu kwenye anga, ardhi na maji. Mambo kama mtandao (Cyber-Space), Anga la nje (Outer-Space), Baiolojia (Biology and Organic Fields), Uchumi (Economy), Taarifa (Information) na Mazingira (Nature and Environment) n.k yamegeuka kuwa uwanja wa vita na silaha hatari mno zimetengeneza na mataifa makubwa ili kupambana. Sisi bado hatujaziona hizi zilaha kwasababu bado tunaangalia mambo ya karne ya 20.
Changamoto kubwa kiusalama kwa dunia ya leo hii ni hizi hapa:
-Cyber-Warfare,
-Weaponisation of Nano-Technology,
-Artificial Intelligence & Autonomous Weapons,
-Weaponisation of Genetic Engineering,
-Electronic Warfare,
-Weaponisation of Outerspace.
- Energy Weapons
Mataifa makubwa yametumia silaha na mbinu mpya (New Means and Methods of Warfare) tajwa hapo juu kwa kiwango kidogo sana, na imeonekana zina hatari kubwa mno kuliko matumizi ya vifaru nyambizi na ndege. Urusi, Marekani na Isreali wametumia kweny vita zao Artificial Intelligence, Cyber-Warfare, Electronic Warfare na Space-Warfare katika kiwango kidogo tu (SUPPORT OPERATIONS) ila madhara yake yamekuwa ni makubwa mno.
Ikitokea vita kubwa baina ya mataifa kama Uchina na Marekani, silaha kama Abraham Tanks hazitatumika katika kiwango kikubwa kwasababu zimepitwa na wakati (They are Obsolete) na kijeshi kwenye dunia hii ya leo ambayo karibia kila mtu anamiliki satelaiti, vifaru na mizinga havina maana kabisa (They are visible, and makes a Commander lack the Element of Surprise)....
Amin, Amin nawaambia silaha ambazo Marekani, Uchina na Urusi wanazo ni zile za kufikirika kwenye filamu kama Star-Wars, Star-Treck na Universal Soldier. Siku wanapambana basi wanadamu wengi mno watapoteza maisha katika kiwango kisicho cha kawaida......
I am talking about Geo-engineering mkuu sio Geo-technical engineering,hii fani sijaigusia popote,sijui kwa nini umeigusia hapa. Najua kwamba Geotechnical engineering ni fani tofauti kabisa na Geo-engineering. Geotechnical engineering is the branch of civil engineering concerned with the engineering behavior of earth materials. It uses the principles of soil mechanics and rock mechanics for the solution of its respective engineering problems. It also relies on knowledge of geology, hydrology, geophysics, and other related sciences. Geotechnical (rock) engineering is a subdiscipline of geological engineering.Nimetanabaisha na kutofautisha sayansi hizi mbili na hiyo iko wazi.
Geotechnical engineering and Geoengineering are two different subjects.
Geotechnical engineering is the science which deals with soils, rocks and earth and how they interact with human activity.
Geoengineering or climate engineering is the science which use scientific methods to curb climate change.
The author of the research which you are using to make your point is from the department of geotechnical engineering university of Ottawa.
In your second point regarding the diplomatic rows and squabbles between Turkey and western countries this is ongoing but to say is something to do with earthquake is just your assumptions.
Turkey was expecting the earthquake to occur but not in this magnitude is as simple as that.
If you tell me that the enemies of Turkey want to use this disaster as a coy posture to obscure their intended internal political situation I would certainly agree.
You have to remember Turkey are preparing for general election this year.