Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,158
- 7,787
Kama wewe ni mwembamba na unaombea waliokuzidi mwiliFive Signs of witchcraft
Here are ways to know if you are involved in witchcraft:
1. You are happy when others fail
2. You secretly wish for others downfall
3. You trivialize the pain of others
4. You wish to use people’s downfall to create social media content
5. You want others to fail to confirm you said it.
Uchawi hamna ulizotaja zote ni dalili za umaskini.
Sababu zake huwa ni nyingi.Umasikini ni zao la nini?
Sababu zake huwa ni nyingi.
Mfano,
Elimu duni .
Siasa na utawala m bovu .
Ukosefu wa rasilimali .
Mabadiliko ya tabia ya nchi .
Migogoro isiyoisha pamoja na vita .
Ukosefu wa afya bora ya mwili pamoja na akili.
Hizi jamaii toka mwanzo zilibebwa mno na sera za utawala wa kikoloni, zilipata nafasi kubwa za kiupendeleo kwenye biashara mbalimbali .Hakika je kwanini umasikini waarabu na wahindi wanoishi Africa hasa Tz na jamii za wapemba wamefanikiwa kuufukuza na wao hawana huo umasikini uliokithiri?.
Hizi jamaii toka mwanzo zilibebwa mno na sera za utawala wa kikoloni, zilipata nafasi kubwa za kiupendeleo kwenye biashara mbalimbali .
Pia ,zilijenga biashara zao katika misingi ya kimtandao katika ngazi ya familia, hii ilichangia biashara zao kupata mrithi aliepikwa kuanzia chini katika mifumo ya kusimamia biashara zao vizuri .
Pia jamii hizi hupata mikopo na kuaminika kirahisi kwenye bank na taasisi mbalimbali kutokana na mifumo yao ya kibiashara walivyo iunda, inakua rahisi kuaminika kwa sababu ni mifumo imara mno .
Hizi njia nilishawah kushauri kwenye group la vijana wa ukoo wangu ambao ni uzao wa babu yangu tu ,yani watoto wa baba zangu wakubwa na wadogo pamoja na watoto wa ma shangaziMajibu mazuri Sana mkuu naimani watu watajifunza kitu kupitia maandishi yako.
Nimesoma shule ya wahindi na nimesoma nao hawa jamaa hawatoki katika mifumo yao na tamaduni zao.
Asilimia kubwa ya wazungu hawaamini uchawi na wanao amini wanaonekana ni jamii duniuchawi wa kizungu ni mzuri,una maendeleo,ungeandika kwa kiswahili labda.
Scientifically na uchawi wapi na wapi? Science is about facts and experimentations while uchawi hauwezi kuwa proved kwa hizo njia ambazo science inatumia kukusanya data zake.Five Signs of witchcraft
Here are ways to know if you are involved in witchcraft:
1. You are happy when others fail
2. You secretly wish for others downfall
3. You trivialize the pain of others
4. You wish to use people’s downfall to create social media content
5. You want others to fail to confirm you said it.
Hizi njia nilishawah kushauri kwenye group la vijana wa ukoo wangu ambao ni uzao wa babu yangu tu ,yani watoto wa baba zangu wakubwa na wadogo pamoja na watoto wa ma shangazi
Tukachanga pesa kila mwezi tukafungua account ya pamoja lengo ni kufungua biashara kubwa kwa mifumo ya kikampuni ili kila mmoja awe na hisa na ndugu zetu na watoto wetu waje kusoma na kupata ajira humo , na kuendeleza mwisho wa siku ulitokea ugomvi mkubwa pale tu watu walipo anza kuingiza tamaa na ubinafsi .
Mwisho wa siku tuliishia kugawana kiasi kilichopo ,kingne waliishia kujengea makaburi ya wana ukoo .
Nikaona bora hilo wazo nilitunze nilipambanie peke yangu tu hata kama nitachelewa miaka 30
😁😁Wala sina mkuu ila mimi naamni kama watu wanaokuzunguka wa karibu ni maskini hata ukiwa na kitu ni ngumu kukilinda labda uwe mafia .Wazo zuri sana nimependa Sana hii idea , ntajaribu kufanya kitu Kama hiki
Hakika una hazina kubwa kichwani.
😁😁Wala sina mkuu ila mimi naamni kama watu wanaokuzunguka wa karibu ni maskini hata ukiwa na kitu ni ngumu kukilinda labda uwe mafia .
vipi we unaamini uchawi?Asilimia kubwa ya wazungu hawaamini uchawi na wanao amini wanaonekana ni jamii duni
Uchawi haupo ni story za kuposha tu na za kurithishana tu toka kizazi na kizazi .vipi we unaamini uchawi?
Uchawi haupo ni story za kuposha tu na za kurithishana tu toka kizazi na kizazi .
onhoo umekataa kua duni sioUchawi haupo ni story za kuposha tu na za kurithishana tu toka kizazi na kizazi .