min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Na wengi hujiona wamefanikiwa mno na hawana cha kupambania tena kutokana na kuona ameshawashinda waliomzunguka .The same to me , hata Jay Z nimemsikia anaongea kitu Kama hiki kuwa hauwezi kuwa na Uhuru kamili ikiwa waliokuzunguka hawapo huru.
Maisha yetu yameunganishwa na watu waliotuzunguka you can't even enjoy ikiwa walikuzunguka wapo na maisha magumu Sana.
Familia ikiwa na watoto 09 waliofanikiwa na mmoja ambaye hajafanikiwa maana yake yule mmoja umasikini wake utakuwa fixed hautoweza kuonekana.