Na wengi hujiona wamefanikiwa mno na hawana cha kupambania tena kutokana na kuona ameshawashinda waliomzunguka .The same to me , hata Jay Z nimemsikia anaongea kitu Kama hiki kuwa hauwezi kuwa na Uhuru kamili ikiwa waliokuzunguka hawapo huru.
Maisha yetu yameunganishwa na watu waliotuzunguka you can't even enjoy ikiwa walikuzunguka wapo na maisha magumu Sana.
Familia ikiwa na watoto 09 waliofanikiwa na mmoja ambaye hajafanikiwa maana yake yule mmoja umasikini wake utakuwa fixed hautoweza kuonekana.
Na wengi hujiona wamefanikiwa mno na hawana cha kupambania tena kutokana na kuona ameshawashinda waliomzunguka .
Is this a whitch dog?,it is happy about all said statement.🫠Five Signs of witchcraft
Here are ways to know if you are involved in witchcraft:
1. You are happy when others fail
2. You secretly wish for others downfall
3. You trivialize the pain of others
4. You wish to use people’s downfall to create social media content
5. You want others to fail to confirm you said it.
Mama yangu mdogo na wanawe wako hivi, yaani mtaani kwao kila mtu anawashangaa kuwa na roho mbaya kihiviFive Signs of witchcraft
Here are ways to know if you are involved in witchcraft:
1. You are happy when others fail
2. You secretly wish for others downfall
3. You trivialize the pain of others
4. You wish to use people’s downfall to create social media content
5. You want others to fail to confirm you said it.
Anataka kuwapa taarifa wazungu wachawi😁Wachawi awajui kizungu sasa sjui ni kundi gan la watu umelenga kuwapa taarifa
Ila wachawi na wanaotaka kua wachawi awajui kizungu