Scopolamine Burundanga ni nini?

Hayo maua yapo sana huku Minjingu ngoja nifanye utafiti kwa watu wasiojulikana kwanza.
 
Na hawa matapeli huwa wana tabia ya kujifanya kuuliza njia ,au sehemu fulani kama kiwanda au hospital au kujifanya wamesoma na wewe,,,,ukiingia kingi wamekumaliza.Wamewaibia watu wengi sana hasa wanafunzi wa vyuo vikuu na wapita njia hasa kwenye mkusanyiko wa watu kama bus stand au sokoni
 
Kuna wakati waliyatumia sana mabus ya Abood na BM haya ya route ya Dar Moro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…