Scopolamine Burundanga ni nini?

Scopolamine Burundanga ni nini?

Umenikumbusha wakati niko chuo mwaka wa pili Jamaa yangu flani alivua mwenyewe begi lina laptop ndani na akawapa na walet yenye mkwanja!
Akili zilipo rudi alilia sana!
 
Ukishapuliziwa inakata baada ya muda gani
Inategemea na kiasi cha dozi ikizidi sana watu hupoteza fahamu kabisa ila dozi ya kawaida ni kati ya nususaa mpaka lisaa
 
Back
Top Bottom