Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,379
- 41,294
Utajifuck mwenyewe....
Nta mfuck mtu fudenge... ana kiwi sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utajifuck mwenyewe....
Scopolamine ni dawa inayotumika hospital kwenye ishu za upasuaji nk... Lakini hii dawa ikifanyiwa kalabo hutengeneza kitu kibaya kabisa
Ninini hicho?
Ni burundanga kwa jina la kihalifu.... Huu hutumika kuondoa utashi wa mtu hasa kwenye kufikiri na kuchukua maamuzi sahihi... Humfanya mtu atekeleze bila kikwazo kila anachoambiwa
Miaka ya nyuma tulikuwa tunashuhudia matukio mengi ya wizi wa hiari.. Yani mwenye mali kutoa mwenyewe bila kulazimishwa japo si kwa utashi wala ridhaa yake
Wezi hutumia kukupulizia usoni ama kupeana mikono.... Huwa wanakuwa wawili ama zaidi... Anayekusemesha ni mwingine na anayekupulizia ni mwingine kabisa, akijifanya mpita njia na kujikwaa karibu yako huku akihakikisha mkono wake umepita karibu na uso wako ama kama mmepeana mikono anahakikisha mkono wako unafika usoni mwako... Sometimes hutumia mbinu ya kutaka kukutoa kitu usoni
Pumzi moja yenye sumu ya Burundanga hukupumbaza na kulemaza hisia za utashi wako kwa muda... Kinachofuatia unakijua?
. Kama una fedha utakabidhi zote
. kama una ATM card utaenda kutoa fedha na kukabidhi
.Kama una gari bila kujitambua unakabidhi funguo na wakati mwingine unapewa na mkataba usaini kama umeuza gari na umelipwa cash
.Kama ni samani za nyumbani utawaongoza wezi na fuso na wapakiaji... Majirani wakikuuliza unasema unahama
. Kama una chochote cha thamani unaweza kukabidhi kwa hiari kabisa
Muda wa kumbukumbu kukurudia hutegemeana na kiwango cha dawasumu uliyopuliziwa... Zamani watu walikuwa hawajui na kudanganywa kuwa ni uchawi ndio unatumika.. Lakini huu si uchawi wala ushirikina bali ni kama dawa ya usingizi ama kaput....
Wauza madawa ya kulevya hutumia sana hii dawasumu kupata habari za wapinzani wao kutoka kwa mateka waliowakamata. CIA waliitumia wakati wa vita kuu ya pili ya dunia.. Na vitengo vingi vya kijasusi yakiwemo magenge ya kihalifu huitumia sana kufanikisha mambo yao....
Cha kushangaza ni mmea wenye kutumika kama malighafi ya kutengeneza hii dawa... Wengi tunaufahamu hasa wale tunaoishi sehemu za baridi....
Wito wangu kwako...
Epuka kupeana mkono na mtu usiyemfahamu barabarani
Epuka kusimama na kuongea na mtu usiyemjua kwenye msongamano wa watu
Makinika na yeyote anayetaka kujifanya msamaria wa kukutoa kitu usoni... Haraka mkamate mkono wake na kuurudisha usoni kwake
Haya mambo huenda na kujirudia kila wakati.. MAKINIKA! View attachment 783252
Mkuu, Nimeuona huku kwetu Umasaini. Ngoja niuoteshe. Angalia tunda lake, je linaliwa?Scopolamine ni dawa inayotumika hospital kwenye ishu za upasuaji nk... Lakini hii dawa ikifanyiwa kalabo hutengeneza kitu kibaya kabisa

duuh ..huyu mmea kweli maarufu sana sehemu za baridi ..asante kwa taarifaHapana uache.. Unapendezesha mazingira... Niliwahi kufika Patandi chuo cha ualimu mwaka 1991, zile garden zake zilikuwa next level.. Hayo nayo yalikuwepo View attachment 783272
Dah! Ngoja nijarribu kutuma tena.Picha hazifunguki lakini
Dah! Ngoja nijaribu kutuma tena.
Dah! Ngoja nijarribu kutuma tena.
Ndiyo.Mkuu unao uwo mmea
My Pleasure.Zimefunguka sasa
Shukrani. Sema hilo picha umetumia kaka na huu usiku linatisha
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Usihofu, wacha mlango wazi nakuja kulala na wewe leo hii. Nahapa, sitokugusa ila sitokuwa na nguo ya ndani, just in case.
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Ngoja niutafute nikampake my boo aniambie ana michepuko mingapi
Hiyo dawa inatokana na hayo maua? hayo maua yametapakaa sana maeneo ya Karagwe aisee! nakushukuru Mkuu, ushauri wako utazingatiwa!
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji3] [emoji3] haya ni matumizi mabaya ya rasilimali