Scopolamine Burundanga ni nini?

Scopolamine Burundanga ni nini?

Umemiss kiasali?
Niko Tabora- weekend nilikuwa viwanja vya oxygen pale na vijana live band[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Mzima ww?
 
Nadhani kitu unayozungumzia nimewahi kukutana nayo kwenye Novel moja inaitwa "The Search for Manchurian Candidate".
 
Hilo jina ni geni kwangu ila ni maua yanayopatikana sehemu za baridi... I mean mimea yake
Ndio haya maua niliyaona sana maeneo ya Lushoto wakati flani sista wangu anasoma Kifungilo ni maua yanayovutia mno kimuonekano kumbe ndo hayo yanatufanya tuwe MAZOBA loh.
 
Maua kengele.Unajua wanayaita kengele kwa sababu shape yake imefanania na zile kengele za kanisani ngoja nitaanzishia uzi wake niyachambue kwa kina
 
Ndio haya maua niliyaona sana maeneo ya Lushoto wakati flani sista wangu anasoma Kifungilo ni maua yanayovutia mno kimuonekano kumbe ndo hayo yanatufanya tuwe MAZOBA loh.
Lushoto ndio home town na hata nyumbani yalikuwepo
 
Bro. Mshana Jr. Asante sana kwa ufahamisho maridhawa. Huku kwetu limeibuka wimbi la wezi wa mtindo huo wanaowaibia watu maeneo ya Benk au wenye maduka makubwa kwa kusalimiana au kuomba umwoneshe njia au mtu anauliza-uliza maswali e.g. soko liko wapi, Stendi ya mgari iko wapi au kituo cha polisi n.k. Waathirika katika mchezo huu ni wale walio wasikiliza(Intertain) watu hao kwa dhana ya kuwa Msamaria mwema
Ubarikiwe sana Mkuu.
Mti huo kule Nyanda za juu kusini unatumika sana kwenye vyanzo vya maji na wanauita Mtarumbeta
 
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Tunao nyuma yanyumba yetu huu mtii ngoja kukuche ni anike maua yake kwaio sichanganyi na kitu kingine zaid tuweke wazi mshana jr
 
[emoji15] [emoji15] [emoji3] [emoji3] unataka ukatumie wapi?
 
Dah mshana aisee
.
IMG_20180522_035906_318.jpg
Scopolia_carniolica0.jpg
 
Back
Top Bottom