[emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144]The most dangerous drug in the world: 'Devil's Breath' chemical from Colombia can block free will, wipe memory and even kill
- Scopolamine often blown into faces of victims or added to drinks
- Within minutes, victims are like 'zombies' - coherent, but with no free will
- Some victims report emptying bank accounts to robbers or helping them pillage own house
- Drug is made from borrachero tree, which is common in Colombia
yana usukari sukariHayo maua yake wakati watoto tulikuwa tunayachuma halafu tunayavuta kwa nyuma yana usukari fulani mtamu sana
[emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] dhambi za utotoniHilo ua mbona kijijini kwetu yapo kibao umenikumbusha kipindi niko mdogo hivi tulikuwa tunasubiri nyuki akiingia humo ndani tunafungia huko kwa kubinga hapo juu basi ni mwendo wa mziki mwanzo mwisho hadi afie humo maana zile kelele zake ni gitaa tosha
Mkuu hilo jina ni kweli auyana usukari sukari
yenyewe
Ni kweli nyumba ya babu imezungukwa na miti hiyo kibao basi tukiendaga kwa babu tunarudi nayo na nyuki kibao tunasikiliza gitaa mdogo mdogo[emoji13] [emoji13] [emoji13][emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] dhambi za utotoni
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mateso ya nyuki furaha kwenu....utoto raha sanaNi kweli nyumba ya babu imezungukwa na miti hiyo kibao basi tukiendaga kwa babu tunarudi nayo na nyuki kibao tunasikiliza gitaa mdogo mdogo[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Sio nyuki tuu na wale nyigu wanaochimba mashimo chini na kuingiza huko mdudu nao ni bududani tosha tulikuwa tunawakamata tunawafungia kwenye ganda tupu la kiberiti kile cha njiti alafu tunafungua kidogo ili atoke basi akitoa kichwa tuu nje tunakibania pale mlangoni kama tunamnyonga hivi basi mlio unaotoka hapo subwoofer haioni [emoji13] [emoji13][emoji23] [emoji23] [emoji23] mateso ya nyuki furaha kwenu....utoto raha sana
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji87] [emoji87] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sio nyuki tuu na wale nyigu wanaochimba mashimo chini na kuingiza huko mdudu nao ni bududani tosha tulikuwa tunawakamata tunawafungia kwenye ganda tupu la kiberiti kile cha njiti alafu tunafungua kidogo ili atoke basi akitoa kichwa tuu nje tunakibania pale mlangoni kama tunamnyonga hivi basi mlio unaotoka hapo subwoofer haioni [emoji13] [emoji13]
Niliwasikia mahali eti ndoto za muda huo ni za kufuatilia sana Kwa kuwa zina ujumbe ni kweli?Yeah mpaka kumi kasoro
Au wewe ili Don Nalimison akupe mimba.Inatakiwa apewe Mbowe avute