Screenshot search history yako tujue ni mtu wa aina gani

Screenshot search history yako tujue ni mtu wa aina gani

Screenshot_20240923-111745~2.png
 
Habari wanajukwaa mnaendeleaje na kujenga taifa?
Kuna uzi mmoja nimesoma asubuhi hii nimecheka mno kuhusu search histories za watu kwenye simu zao. Kuna histories za mambo ya ajabu ambayo mtu mwingine akiona anashangaa kumbe fulani huwa hivi.
Wengi huwa wanasearch vitu mbalimbali kama mpira, masomo, mapishi, elimu, magonjwa nk.

Haya tuje na challenge bila kucheat screenshot search history yako tujuane ni watu wa aina gani. Mimi yangu hii hapo
😂Alicia kanini
 
Ninachowapendea Google ukisearch xvideos then ukatoka hapo kwenye google search huwezi kuiona iyo xvideos kwenye list, ni mpaka uende kwenye search history huko ndio utazikuta so mleta mada hapo unatupanga fungua google history.
Mkuu google history yangu imejaa mambo ya mpira, betting, movies download na nyimbo tuu, sijawahi search X kabisa.
 

Attachments

  • Screenshot_20240923-113135_Chrome.jpg
    Screenshot_20240923-113135_Chrome.jpg
    173.7 KB · Views: 3
  • Screenshot_20240923-113101_Chrome.jpg
    Screenshot_20240923-113101_Chrome.jpg
    206.2 KB · Views: 3
  • Screenshot_20240923-112857_Chrome.jpg
    Screenshot_20240923-112857_Chrome.jpg
    191 KB · Views: 2
  • Screenshot_20240923-112648_Chrome.jpg
    Screenshot_20240923-112648_Chrome.jpg
    174.4 KB · Views: 3
  • Screenshot_20240923-112611_Chrome.jpg
    Screenshot_20240923-112611_Chrome.jpg
    177.1 KB · Views: 4
Back
Top Bottom