Colonel McCoy
JF-Expert Member
- Aug 15, 2023
- 305
- 584
Safi sana..T-Mobile iko poa sasa hivi, kwangu kuna wakati walikuwa na challenge walipoinunua Sprint, sasa hivi wako poa sana.
Mpaka saa nyingine nipo home ila naondoa Wi-Fi nacheza na 5G tu, inakuwa poa kuliko Wi-Fi.