Screenshot search history yako tujue ni mtu wa aina gani

Screenshot search history yako tujue ni mtu wa aina gani

Nilichogundua watu wengi wanapenda kubet
 

Attachments

  • IMG_1599.png
    IMG_1599.png
    250.3 KB · Views: 3
Habari wanajukwaa mnaendeleaje na kujenga taifa?
Kuna uzi mmoja nimesoma asubuhi hii nimecheka mno kuhusu search histories za watu kwenye simu zao. Kuna histories za mambo ya ajabu ambayo mtu mwingine akiona anashangaa kumbe fulani huwa hivi.
Wengi huwa wanasearch vitu mbalimbali kama mpira, masomo, mapishi, elimu, magonjwa nk.

Haya tuje na challenge bila kucheat screenshot search history yako tujuane ni watu wa aina gani. Mimi yangu hii hapo
Anza wewe kwanza
 
Wazee wa Incognito Mode weka mkono mmoja juuu πŸ™‹β€β™‚οΈ
 
Back
Top Bottom