Colonel McCoy
JF-Expert Member
- Aug 15, 2023
- 305
- 584
Safi sana..T-Mobile iko poa sasa hivi, kwangu kuna wakati walikuwa na challenge walipoinunua Sprint, sasa hivi wako poa sana.
Mpaka saa nyingine nipo home ila naondoa Wi-Fi nacheza na 5G tu, inakuwa poa kuliko Wi-Fi.
😀Afisa kama afisa
Kwasasa sipendelei sana mchezo wa mpira toka nimeacha kubeti 2015M
Moja kati ya wakuu wachache ambao dearch zao hazina mambo ya mpira
Sana mpenz....pitia somo hiloLooks like ubuyu una faida lwa mwanamke, ngoja nikajisomee na mimi pia. Ndio uzuri wa JF huwezi kuondoka bure hata ukianzisha mada yoyote.
Nilikuwa namkumbusha shemeji yako wajibu wake alete dyudyu limemisika 🤣🤣🤣Naona kuna emoji ya 🍆🍆🍆
We jamaa ni magari na wewe wewe na magari