We naona taste zetu zinafanana [emoji1][emoji1]
Kitu Indigo...
This song ina utu na utulivu...
Niaje braza.....This song ina utu na utulivu...
Hasta manana π₯π₯π₯
Fresh brotherNiaje braza.....
Hii ngoma huwa inanilete mafeelings mazito sana....
Mimi nakumbuka mwaka 2005 hiyo, kwenye sherehe nilikuwa nimekamatia totoz za kwa malkia...Fresh brother
Mimi huwa inanikumbusha enzi nakaa na sister angu mmoja home tunatambaa na lyrics ππ
Ila Favorite song ilikuwa
I'm your angel.. Mimi R kelly, yeye celine deon as if tuna hizo sauti ππ