Midekoo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2015
- 47,776
- 257,882
Wa mwaka gani huo kiongoziKuna wimbo sijui uliimbwa na watunjatanjata. Chorus yake inaenda hivi
Tujiepushe na ukimwi eeh
Ugonjwa usiotibika....
Tutunze afya zetu eeh
Tufuate mawaidha ya daktari
Nautafuta.
ndo wewe huyo unakenua mimeno...Mwizi…..) 😍😘
Mapenzi bhana, hata tugombane mchana usiku tumeshapatana.
Twacheka na kutekenyana..!! 😹
Hapana ni Zuchu 😹😹😹ndo wewe huyo unakenua mimeno...
Nafikiri ni 1991.Wa mwaka gani huo kiongozi