Ngapulila... Vijana jazz
Makumbele ya kwao marquiz du zaire
Droit de veto, koffie.. ila pale anaposema ima ima uma, inabidi nipunguze sauti ina sound kama KHUMA INAUMA 🤣😂
Wanoko nok mandojo(R.i.p) na domokaya
Salima ya kwake papii kocha mtoto wa mfalme
Kisha nitamalizia na thug love ya ja rule.
Kuna demu wangi wa kitambo sana alikuwa anaipenda hii, tukibanjuana ama baada lazima aisikilize, mpaka kesho tukichat anasema amemis thug love.. 🤣😂