Dah nime cheka kishenzi,View attachment 3373763
Namsikiliza Bob Marley on repeat kwa karibu masaa 24 sasa.
Saa nyingine mpaka nataka... aaah.
Nishapita huko nishamaliza na kina Justin Kalikawe, Jah Kimbuteh, Vichwa Ngumu, Gendaeka, Ephraim Kibonde, Hakim Mgomelo, Ronald Mutie Mengi, Ras Pompidou, Gotta Irie etc., miaka hiyo wewe uko shule ya msingi bado nafikiri.Dah nime cheka kishenzi,
Hujawahi kuisha maajabu, una taka uwe msanii wa reggae ama?
Hapa kweli ume nikamata, nawa jua ronald na marehemu kibonde.Nishapita huko nishamaliza na kina Justin Kalikawe, Jah Kimbuteh, Vichwa Ngumu, Gendaeka, Ephraim Kibonde, Hakim Mgomelo, Ronald Mutie Mengi, Ras Pompidou, Gotta Irie etc., miaka hiyo wewe uko shule ya msingi bado nafikiri.
Unawajua hata mmoja hao?