Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 21,788
- 34,782
Kwa sasa nyimbo ipi hujisikii vizuri bila kuisikiliza kila siku, mi ni 1. Glad your settling (jessica baio ) 2. Morning ( navy kenzo ).Rock with it boy
Enzi hizo.. Cheap thrills na rockabye vilikuwa havikauki kwenye kiredio hostel
Hiyo ni IOS 26? Background imetulia
Mostly uwa ni gospel 😁Kwa sasa nyimbo ipi hujisikii vizuri bila kuisikiliza kila siku, mi ni 1. Glad your settling (jessica baio ) 2. Morning ( navy kenzo ).
Yaas, mambo ya glass UIHiyo ni IOS 26? Background imetulia
Daah! Sijui kwanini nahofia mie bado 🤣Yaas, mambo ya glass UI
So far sijapata changamoto yoyote, napohofia ku update ni kwenye Mac tu, huko nasubiri labda ipite hata miezi mi nneDaah! Sijui kwanini nahofia mie bado 🤣
Nikiona reviews tiktok waliowahi update inasumbua
Mambo vp depaulDaah! Sijui kwanini nahofia mie bado 🤣
Nikiona reviews tiktok waliowahi update inasumbua
Poa, za wewe?Mambo vp depaul
Salama kwa hapo mitaa ya clock tower, mjini kati mpaka kule kona ya eso unadhani wapi ni pazuri kwa biashara ya usonara(kuuza na kununua vito vya thamani)Poa, za wewe?
Picha linaanza eso sipajui. Napasikia tu panaitwa kona ya eso, ila kujua ndio mitaa hii sijawahi fikapo. 😁Salama kwa hapo mitaa ya clock tower, mjini kati mpaka kule kona ya eso unadhani wapi ni pazuri kwa biashara ya usonara(kuuza na kununua vito vya thamani)