Poker
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 7,349
- 21,802
Unainjoy wapi weekend yako?Nipo kwenye makelele woii nikisikiliza nakutagš
Unainjoy wapi weekend yako?Nipo kwenye makelele woii nikisikiliza nakutagš
huu ndio wanaimba š¶ yondo sister mwana mama eeh mama š¶
Hiyo itakuwa unasemea mbuta mutu ile analalama anapenda ila hapendwi, hiyo ngoma ni ya kitambo kipindi naanza maisha huko mai ndombe.huu ndio wanaimba š¶ yondo sister mwana mama eeh mama š¶
Jirani na soko la samaki, aisee ngoja niite bajaji nije chap. Nikubebee zawadi gani?Hii ni mpya dear iko hapa opposite na BOT pembezonI mwa Ziwa