Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,527
- 14,881
Nambie
Itikia NaamNambie
Hapo siju unafanyaje ila mshtue vincenzo nahisi atakuwa anajuaItikia Naam
Nambie ni manini hayo 🙂
Sikia.. kuna hii app inaitwa MovieBox.. natumiaga kuangalia movie hata zilizoko Netflix.. nifanyeje niweze kuipata na kwenye TV?
Hapa nimemaliza The Woman in Cabin 10. Nipe nyingine nicheckView attachment 3494851
Tam kinomaHapo siju unafanyaje ila mshtue vincenzo nahisi atakuwa anajua
Hyo movie sijaiiona bado ila ipo kwenye list, ni nzuri au miyeyusho?
Kama una Android tv download kwenye website Yao hii app afu ukimaliza hapo fresh tu unatazama kwenye TV yako 😎😎