Unainjoy wapi weekend yako?Nipo kwenye makelele woii nikisikiliza nakutag😆
huu ndio wanaimba 🎶 yondo sister mwana mama eeh mama 🎶
Hiyo itakuwa unasemea mbuta mutu ile analalama anapenda ila hapendwi, hiyo ngoma ni ya kitambo kipindi naanza maisha huko mai ndombe.huu ndio wanaimba 🎶 yondo sister mwana mama eeh mama 🎶
Jirani na soko la samaki, aisee ngoja niite bajaji nije chap. Nikubebee zawadi gani?Hii ni mpya dear iko hapa opposite na BOT pembezonI mwa Ziwa