SCREENSHOTS: Wimbo gani unasikiliza sasa hivi?

SCREENSHOTS: Wimbo gani unasikiliza sasa hivi?

Vincenzo Jr na dosho12 mnaikumbuka hii movie?
IMG_3537.jpeg
 
Haya maandalizi siyo ya maandamano tu haya ni ya vimondo 😅, siku tatu au nne tu we umejaza chumba kizima, hizo ndizi si za kula wiki tatu, au mwezetu kuna kitu unajua 😅😅
Maandamo yaliyopita nilikwama kwa watu siku3, sasa haya u never know wangapi watakwama kwangu🌚 anything can happen😈
 
Back
Top Bottom