SCREENSHOTS: Wimbo gani unasikiliza sasa hivi?

SCREENSHOTS: Wimbo gani unasikiliza sasa hivi?

Screenshot_20251120-172956_1.jpg
 
Siku 3 mtu akulishe, akuvishe maana hukuwa na nguo za kubadili uangalie muvi sebuleni na nguo zake na ulivyo msupuuu 😳. Na kipochi manyoya hakikuchakatwa 😆
Hebu acha hizo imaginations zako! Wote tulikuwa tumeokoka jamani, halafu uzuri sikustuck hapo pekeangu tulikuwa wanne😅.. afu mi sio msupuuu!kipochi kinangoja mmiliki, we kwanini unawaza uzinzi? Shindwaa!😆
 
Back
Top Bottom