Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 33,225
- 83,181
Ile ngoma ya call out my name ndio alilalama kuhusu selena, na kiufupi selena alimtumia kumuumiza justin. Miaka hiyo ya 2017 au 2018 huko kipindi bado nipo uholanzi. Jamaa yeye alikuwa na pisi yake inaitwa hadidi.Hii jamaa alimnanga demu wale wa kuitwa Serena Gomez
🤔😍😍 Kuna muda unagusa kunako Vin . Without Me has many powerful lines, but the most iconic and emotionally charged often cited ni .........I said am fine but, am not really fine.😍
And if they laugh, then fvck em all 😁
🤣 unapenda movie za kunjunjana na uko single, huoni kuna hatari bakari nondo mwamnyeto? Jaribu kucheki hizi masterpiece hapaView attachment 3511652View attachment 3511653
offer ya kukwama kwa Seran siku ya maandamano bado ipo kaka, kazi kwako tu 😁🤣 unapenda movie za kunjunjana na uko single, huoni kuna hatari bakari nondo mwamnyeto? Jaribu kucheki hizi masterpiece hapaView attachment 3511652View attachment 3511653
Ila kwenye video yule bidada alicheza uhusika kama wa Serena Gomez hata wigi alilovaaIle ngoma ya call out my name ndio alilalama kuhusu selena, na kiufupi selena alimtumia kumuumiza justin. Miaka hiyo ya 2017 au 2018 huko kipindi bado nipo uholanzi. Jamaa yeye alikuwa na pisi yake inaitwa hadidi.
Without me 😀😀And if they laugh, then fvck em all 😁
😎😎🔥Ngoma Kali sana🤔😍😍 Kuna muda unagusa kunako Vin . Without Me has many powerful lines, but the most iconic and emotionally charged often cited ni .........I said am fine but, am not really fine.😍
Unasikio la kupata vitu vizuri vizuri Kama Dr Dre the famous Doctor.😎😎🔥Ngoma Kali sana
maandamano haya kila mtu yamkutie kwake aisee🌚Yupo karibu? Au niache tabia mbaya
Ni leo tu trust me😁, saiz ndio naimaliza sasa😅😋na huyo bakari nondo ameshindwa!!🤣 unapenda movie za kunjunjana na uko single, huoni kuna hatari bakari nondo mwamnyeto? Jaribu kucheki hizi masterpiece hapaView attachment 3511652View attachment 3511653