Mallerina
JF-Expert Member
- Jan 19, 2023
- 4,666
- 11,789
POA you good?Mambo 😎
POA you good?Mambo 😎
Nipo gudi 😎POA you good?
Hapo sawa kabisa🎊Nipo gudi 😎
Huyu muingereza namkubali sana haipiti wiki lazima nimsikilize dosho12na hii ukisema huikubali ntakushangaa sana Poker View attachment 3511730
daaaaaaaaaaang’…!
Mtumishi Vincenzo Jr leo umejua kuibariki jumamosi yangu..!🙌🏾
Aje na rafiki zake
Aliyoimba na Gigy me ndio inanichekeshaView attachment 3511780
Huyu Msomali sijui alifikiria nini hii Ngoma ya Singeli imenishika kweli nimeisikiliza zaidi ya mara 20 😀😀😀
Asimsahau Doshotwelve 😁Aje na rafiki zake
Upo muhindi wa kibosho 😁Asimsahau Doshotwelve 😁
Ma mkali.. 😁 mistari ni ujinga tuInaitwaje?
🤣🤣🤣🤣 nyakati ndio hizi. Mje kunywa pombe asbh mpaka asbhUpo muhindi wa kibosho 😁
We hujaandaa msosi wa maandamano kama seran 😁🤣🤣🤣🤣 nyakati ndio hizi. Mje kunywa pombe asbh mpaka asbh
Bia ndio nyingiWe hujaandaa msosi wa maandamano kama seran 😁