SCREENSHOTS: Wimbo gani unasikiliza sasa hivi?

Haya maandalizi siyo ya maandamano tu haya ni ya vimondo 😅, siku tatu au nne tu we umejaza chumba kizima, hizo ndizi si za kula wiki tatu, au mwezetu kuna kitu unajua 😅😅
Maandamo yaliyopita nilikwama kwa watu siku3, sasa haya u never know wangapi watakwama kwangu🌚 anything can happen😈
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…