POA you good?Mambo π
Nipo gudi πPOA you good?
Hapo sawa kabisaπNipo gudi π
Huyu muingereza namkubali sana haipiti wiki lazima nimsikilize dosho12na hii ukisema huikubali ntakushangaa sana Poker View attachment 3511730
daaaaaaaaaaangββ¦!
Mtumishi Vincenzo Jr leo umejua kuibariki jumamosi yangu..!ππΎ
Aje na rafiki zake
Aliyoimba na Gigy me ndio inanichekeshaView attachment 3511780
Huyu Msomali sijui alifikiria nini hii Ngoma ya Singeli imenishika kweli nimeisikiliza zaidi ya mara 20 πππ
Asimsahau Doshotwelve πAje na rafiki zake
Upo muhindi wa kibosho πAsimsahau Doshotwelve π
Ma mkali.. π mistari ni ujinga tuInaitwaje?
π€£π€£π€£π€£ nyakati ndio hizi. Mje kunywa pombe asbh mpaka asbhUpo muhindi wa kibosho π
We hujaandaa msosi wa maandamano kama seran ππ€£π€£π€£π€£ nyakati ndio hizi. Mje kunywa pombe asbh mpaka asbh
Bia ndio nyingiWe hujaandaa msosi wa maandamano kama seran π