SCREENSHOTS: Wimbo gani unasikiliza sasa hivi?

Hahahah umenikumbusha enzi nasoma tena primary tunaimba na wadogo zangu nyumbani ila jmnπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Seran umenikumbusha mbali sanaaa 🀣🀣
Siku ya siku nikakamatwa na skauti, nikamjibu hovyo baada ya kuona ye ni o level.. akanisemea kwa afande X
Nilichapwaaa
Na ki Mp3 player kikachukuliwa.. nikaambiwa mpaka nimalize paper ndio napewa.
Paper lilivyoisha nikamfata akanipa 🀣🀣🀣
Maisha ya shule matamu
 
Mi nilikiwa mbabe jamaniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ maisha ya shule ni matamu sana aisee ila tu usiwe taira taira unaonewa🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…