😃😃bado kusizSkanka haina madhara zaidi ya njaa na kulala na kwenda dunia nyingine 😁
Kabisa mkuu, hawa ndio wazee waandamizi...
Nishaanza tu kuchoka naishia kusikiliza mara moja moja lakini nitanunua tu ipo sikuI hope ushajinunulia maiki uwe unaimba ndani 😂
Hao tumesoma nao hata chuo, vijana wa kaskazini wametulia tu wakimya wanakaaga nyuma ukiwasogelea ndioo utajua unadeal na gangsta wa gani😂😂😂Wanajifanya wako nyuma wametulia kumbe katoka chooni kusokota kamoja
Nishamtwanga kelebu moja🫢Hapoo pa kum approach mpaka afike baharini 😃
Na kucheka cheka ka falaSkanka haina madhara zaidi ya njaa na kulala na kwenda dunia nyingine 😁
Unajifanya mpenda amani kila mahali😂😃😃bado kusiz
Unaongeleshwa kumbe we ushafika Mars
Na mzigo hauna baya, lazima ujitambulishe kwa harufu nzuri 😂Hao tumesoma nao hata chuo, vijana wa kaskazini wametulia tu wakimya wanakaaga nyuma ukiwasogelea ndioo utajua unadeal na gangsta wa gani😂😂😂
Hiyo kitu ilinifanya niupende wimbo wa wiz khalifa- so high nilikuwa nasikia raha😝 afu upo zako road trip…oyaaa🤪Na mzigo hauna baya, lazima ujitambulishe kwa harufu nzuri 😂
Apate kichapo heavy😂😂😂 ila siku moja moja nakuacha wakufunze adabu
Sawa ila pambano likianza hakuna kurudi nyuma mpaka mshindi apatikane 😁Nipo tayari😂😂
Nimekupa dedication somewhere huko juu. Utafute wimbo usikilize.Huu wimbo back then was among my favs.. sijausikia muda ila lyrics bado ziko kichwani.. hadi nimeimba 😁😁
Zamani kwenye vimbweta vya shule flani na rafiki angu mmoja - Rich kid
Tulikuwa na notebook zenye nyimbo.. only English songs 😂😂
Umeanza kunitishia maisha sio😂Sawa ila pambano likianza hakuna kurudi nyuma mpaka mshindi apatikane 😁