😃😃 Afu Hawaachanagi kirahisi watu wa hivyo..Hiyo kitu ilinifanya niupende wimbo wa wiz khalifa- so high nilikuwa nasikia raha😝 afu upo zako road trip…oyaaa🤪
Anirudie analiaaApate kichapo heavy😂
Kwa wapi? Sijaona notification mbona..Nimekupa dedication somewhere huko juu. Utafute wimbo usikilize.
Wanao ongea sana hamna kazi 😂Umeanza kunitishia maisha sio😂
Umesema utaniacha nipigwe 😁😂😂Refa sina upande mbona
Siku moja moja sasa ili hasira zipande zaidi, afu unaziongezea na 🍁Umesema utaniacha nipigwe 😁
Kwa wapi? Sijaona notification mbona..
Hapa labda dosho12 asiwepo kwanza😂Seran unaonaje tukigusanisha nyama kwa nyama 😅View attachment 3534847
Siamini unanigeuka shenesti 🙄😅Siku moja moja sasa ili hasira zipande zaidi, afu unaziongezea na 🍁
Ukija kumshika tena ni kipigo juu ya kipigo