Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,954
- 210,287
😁😁 Keep the memories aliveHahahah umenikumbusha enzi nasoma tena primary tunaimba na wadogo zangu nyumbani ila jmn😂😂😂
😁😁 Keep the memories aliveHahahah umenikumbusha enzi nasoma tena primary tunaimba na wadogo zangu nyumbani ila jmn😂😂😂
Na kucheza hizo style zao ss saizi uroto umekata naanzaje ntaangukia vyombo bure😂😂😂Gen Z 😁😁
Huo mwaka nilikuwa 5 pia
Mi nilikuwa mpole sina muda na watu nakaa zangu nyuma ya darasa nawa zoom watu tuMi nilikiwa mbabe jamani😂😂😂😂😂 maisha ya shule ni matamu sana aisee ila tu usiwe taira taira unaonewa🤣
Dosho kazaliwa 2012 😁We dosho wakati nakusubiri ukue kue nikubemende😂😂😂😂
Huo sio upoleMi nilikuwa mpole sina muda na watu nakaa zangu nyuma ya darasa nawa zoom watu tu
Magazijuto = 25 😁😁mi nilikuwa nafikisha miaka 52 😎
Bahati mbaya tu sijawahi kupenda shuleni… ila vijana wapole aisee ungenikoma😂😂😂Mi nilikuwa mpole sina muda na watu nakaa zangu nyuma ya darasa nawa zoom watu tu
Upole marufuku humu duniani 😂Mi nilikiwa mbabe jamani😂😂😂😂😂 maisha ya shule ni matamu sana aisee ila tu usiwe taira taira unaonewa🤣
Dosho kazaliwa 2012 😁
Angalia username yake
Hapo simu sijui kaiba ya nani
Khee kwaio dosho anataka kututapeli wamama wa 90s😂😂😂Dosho kazaliwa 2012 😁
Angalia username yake
Hapo simu sijui kaiba ya nani
Analeta michezo 😁Khee kwaio dosho anataka kututapeli wamama wa 90s😂😂😂
Huyu ndo wale wavuta bangi wa chini chini😅Huo sio upole
Ni ujeuri
Wapole walikuwa wanakaa mbele kabisa tena upande wa katikati
kha! Ntakuachia laana, omba radhi haraka sana 😎Magazijuto = 25 😁😁
Ambatanisha NIDA 😃😃kha! Ntakuachia laana, omba radhi haraka sana 😎
Wanajifanya wako nyuma wametulia kumbe katoka chooni kusokota kamojaHuyu ndo wale wavuta bangi wa chonochini😅
Skanka haina madhara zaidi ya njaa na kulala na kwenda dunia nyingine 😁Wanajifanya wako nyuma wametulia kumbe katoka chooni kusokota kamoja