Ndio maana nakuja kwa machale mtaa wa 420 😂Watakaokuletea chai nao watawekwa ndani🤣
Atakuwa hana kazi za kufanya sasa😂Ndio maana nakuja kwa machale mtaa wa 420 😂
😃😄😁😁😄Kwahiyo Vincenzo Jr hanyongi kabisa kabisa🤭
Asante na hii ipo kwenye flash yangu,,, basi nasikiliza hii mpaka jionileo dada usiache kuisikiliza hii ngoma upatapo mudaView attachment 3546039
Goma kali sana hili
Aisee basi unajua ngoma kali sana, ulipaswa kuwa producer kama quincy jones.Asante na hii ipo kwenye flash yangu,,, basi nasikiliza hii mpaka jioni
Mi napenda sana muziki,,, yaani kama ndio unanipa afya ya akili,!!!!! Mi nilipaswa kuwa dj poker ukinikuta kwenye machine yangu huwezi amini.Aisee basi unajua ngoma kali sana, ulipaswa kuwa producer kama quincy jones.