Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Muite Harmful muuza vibiriti kabisa awe standby 😃Vincenzo Jr njoo utupe connection ya kupata moshi 😁
Muite Harmful muuza vibiriti kabisa awe standby 😃Vincenzo Jr njoo utupe connection ya kupata moshi 😁
Cash in hand 😁Msinikope ila mtanifirisi 😁
Kwahiyo Vincenzo Jr hanyongi kabisa kabisa🤭Na Uza na rizla mwambie na dosho12 😂
Me sijajua mkuu me nauza viberiti tu ila wakazi wa mtaa wa 420 siwajui vizuri 😂Kwahiyo Vincenzo Jr hanyongi kabisa kabisa🤭
Naiongeza kwenye playlist yangu ya leo
Unakwama sasa! Wateja wako ni kina nani?😃Me sijajua mkuu me nauza viberiti tu ila wakazi wa mtaa wa 420 siwajui vizuri 😂
sitaki kuwaweka rehani wateja wangu 😂Unakwama sasa! Wateja wako ni kina nani?😃
Au sio😅 tutakutana tu we ngoja😁sitaki kuwaweka rehani wateja wangu 😂
Tutakutana wapi mbona unanitisha 😂 we mteja au shushushu 😅Au sio😅 tutakutana tu we ngoja😁
Mimi winga wa viberiti na dawa🤣Tutakutana wapi mbona unanitisha 😂 we mteja au shushushu 😅
Kama aliyeangalia video tu kawekwa kwenye kesi ya uhaini je mimi Muuza viberiti wa watu 😂Unapotea umekosa nini😂 kwani na we hauheshimu utawala?😁
inabidi tukataftie ulizi 😁Kama aliyeangalia video tu kawekwa kwenye kesi ya uhaini je mimi Muuza viberiti wa watu 😂
Watakaokuletea chai nao watawekwa ndani🤣Kama aliyeangalia video tu kawekwa kwenye kesi ya uhaini je mimi Muuza viberiti wa watu 😂
Kazi ngumu hizi 😂inabidi tukataftie ulizi 😁