dosho12
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 4,965
- 13,552
Mi napenda anavyowavuta na ule mnyororo na anavyosema "get over herešScorpion hamna kitu kule bora sub zero alikuwa na fatality ya motooo
Mi napenda anavyowavuta na ule mnyororo na anavyosema "get over herešScorpion hamna kitu kule bora sub zero alikuwa na fatality ya motooo
Unanikumbusha mbali sana japo sikumbuki vzr ila najua kulikuwa na tanya pia nimecheza mortal combat na wadogo zangu enzi hizošMi namtumia sana scorpion na lile kubwa linaitwa khan kwenye story ni baba yake na kile kisichana anachokipenda luo kang
unasemea sonya yule anayetumia bastolašUnanikumbusha mbali sana japo sikumbuki vzr ila najua kulikuwa na tanya pia nimecheza mortal combat na wadogo zangu enzi hizoš
Uzee huu hata sikumbukišunasemea sonya yule anayetumia bastolaš
Kung lao nahisi atakuwa yule mwenye kofia ya kisu akiirusha inakata vichwaš mortal kombat raha sana kucheza hasa ukiwa na stress ni kwenda kupiga watu kwenye game šUzee huu hata sikumbukiš
Mortal Kombat features a vast, iconic roster of fighters across decades of games, renowned for brutal fatalities and unique fighting styles. Key characters include Scorpion, Sub-Zero, Liu Kang, Raiden, Sonya Blade, Johnny Cage, Kitana, and Mileena. The newest entry, Mortal Kombat 1, reimagines fighters like Kung Lao, Baraka, Reptile, and Shang Tsung
Mwaka huu mwezi wa tano wanatoa movie nyingine ya mortal kombatMi nimecheza hata sijaota manyonyo ko hata stress sikuwa nazoš ndiomaana siwakumbuki vzr characters, tuliangalia movie part zote za mortal combatš
Duhh hawapoišMwaka huu mwezi wa tano wanatoa movie nyingine ya mortal kombat
Hapo umenikamata sijui, šdosho12 bila cheating otea hi nyimbo ni movie gani? View attachment 3545253
Kumbe ipo kwenye sonic 3š jina lake silijuidosho12 bila cheating otea hi nyimbo ni movie gani? View attachment 3545253
Huwa naisikiliza tu, ila haikai kwenye playlist yangu.. huwezi amini sijawahi pakua hii ngoma maisha yangu yote.makaveli10 ongeza hii katika playlist yakoView attachment 3545239
Jamaa fundi sana huyuVincenzo Jr utaongeza hii katika playlist yako.View attachment 3545238
Twisted metal?Kuna game moja la racing nimesahu jina lake ni la rough road alafu magari ni kama ya kwenye mad max hilo game niliangalia trailer yake ila ni nzuri
Hili game nililikubali sana šTwisted metal?