dosho12
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 4,965
- 13,552
😁 hapa nacheka kwa lile cheko lake, sikuhizi simsikii kabisaHivi Young D yukwapi 😁😁
😁 hapa nacheka kwa lile cheko lake, sikuhizi simsikii kabisaHivi Young D yukwapi 😁😁
Haahahaaaaaa cheko la bila emoj 🤣😁 hapa nacheka kwa lile cheko lake, sikuhizi simsikii kabisa
Ana nyimbo yake moja ya zamani inaitwa "furaha" hyo nyimbo huwa naikubali mno
Yupo ulaya anakula maisha tu😅Hivi Young D yukwapi 😁😁
😅 Sijui maana yake, ni nini
Kalikuwa kadogo dogo kadhuriiii na nyimbo zake 🤣🤣🤣Ana nyimbo yake moja ya zamani inaitwa "furaha" hyo nyimbo huwa naikubali mno
kipindi bado hajawa pakarapa😅Kalikuwa kadogo dogo kadhuriiii na nyimbo zake 🤣🤣🤣
umenikuta na furaha sina wasi, usinighasi ukaniacha na karaha..
Nilikuwa namkubali sanakipindi bado hajawa pakarapa😅